University graduate adai ada yake baada ya kukosa kazi baada ya graduation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

University graduate adai ada yake baada ya kukosa kazi baada ya graduation

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hofstede, Aug 3, 2009.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hii, kama ingekuwa inafanyika Tanzania basi nafikiri HELSB wangerudishiwa hela zao nyingi na vyuo vikuu, badala ya kuendelea kukimbizana na wahamitimu kurudisha mikopo.

   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Frivolous,

  Kama hao Monroe hawajatoa disclaimer kwamba hawawezi ku guarantee kazi watakuwa wajinga, furthermore huyu mwanamke hana naia na kazi, ana nia na hela za chap chap za lawsuit.Kama angekuwa na nia na kazi angejua hii bad publicity ndiyo itamfanya akose kazi kabisa.
   
 3. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Inawezekana pia kwamba ana lengo la kutoa funzo.
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duh hii kali.............hapa bongo mbona wengi wangedai mahari zao baada ya kukosa watoto
   
 5. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #5
  Aug 4, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teh teh..bora awapeleke mahakamani..chuo kimeshindwa kuuza graduates wake sokoni sio!..kali hiyo.
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  nadhani hiyo inatakiwa ije kwetu hapa...maana naona mitaala ni ya ajabuajabu sana unachofundishwa college hakitumiki kwenye markets mtaani na tunaishia kulalamikia wageni wanachukuwa ajira zetu....changamoto kwa higher learning institutions zetu...je WANAJUWA MAHITAJI YA SOKO LA AJIRA KWA WANAFUNZI WAOOOO?...

  au ndio kutumia mitaala ya enzi za kina carl peters na chifu mangungo wa msovero ndo maaana mpaka leo wazee na vijana wetu wana-sign mikataba ya kuuza nchi kama ya miaka hiyooooooo ya kabla ya kristo....WASHITAKIWE WOTE KABISAAAA
   
Loading...