Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 1,634
- 2,384
dipUmetuokea 6au dip..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dipUmetuokea 6au dip..?
Kama una vigezo unapata mkuu.CAWM mweka, Sua na Udsm mkuu
Hapo vipi
Hapana, ni tar 9 OctWamesema kwa Awamu ya kwanza matokeo yatatoka tarehe 12
Nani kakwambia?Hapana, ni tar 9 Oct
Fuatilia tcu wewe usiwe nyuma kila mahali kiongoziNani kakwambia?
Mkuu ni tarehe 12...Fuatilia tcu wewe usiwe nyuma kila mahali kiongozi
ile course nilisoma diploma halafu ile unapiga kazi za shamba balaa
sawa mkuu mwezi wa kumi na moja nitakucheki hapo mazimbu campusMimi nipo Agricultural extension kaz iko pale pale tena Agronomy lazma upige..
Ila mkuu Agronomy ikidunda check coz zingine za collede of Agriculture vitu vingi tunashare..
Kwani course za agronomy ni ngumu mkuu..?Mimi nipo Agricultural extension kaz iko pale pale tena Agronomy lazma upige..
Ila mkuu Agronomy ikidunda check coz zingine za collede of Agriculture vitu vingi tunashare..
HV kozi si huwa unachagua 5 kwenye maombi.. Hvyo unaweza pelekwa yoyote kati ya hzo 5 ulizoomba..?Mimi nipo Agricultural extension kaz iko pale pale tena Agronomy lazma upige..
Ila mkuu Agronomy ikidunda check coz zingine za collede of Agriculture vitu vingi tunashare..
Hiyo ratiba mbona ipo tofauti na yangu yangu inasema majina yanatangazwa tare 9/10 Ila yako inasema tare 12/10 which is whichHio apo almanac
Hii ndio sahihi, ile ya kwanza iliahirishwa, maana ya kwanza inasema maombi ya vyuo yalianza trh31/08 lkn badala yake yakaanza trh 26/08 kulingana na hii ratiba ya sasaHiyo ratiba mbona ipo tofauti na yangu yangu inasema majina yanatangazwa tare 9/10 Ila yako inasema tare 12/10 which is whichView attachment 1584102
Sent using Jamii Forums mobile app
Amna coz rahis pale n kuweka effort you.Kwani course za agronomy ni ngumu mkuu..?
Au nipe sifa ya agronomy kwa ujumla
Ndio mkuu usichague coz kujaza nafas utajaguliw iyo na kuhama n probability na transfer fee n 50000/=HV kozi si huwa unachagua 5 kwenye maombi.. Hvyo unaweza pelekwa yoyote kati ya hzo 5 ulizoomba..?
Mkuu dip umepga chuo gan.HV kozi si huwa unachagua 5 kwenye maombi.. Hvyo unaweza pelekwa yoyote kati ya hzo 5 ulizoomba..?
HV kozi si huwa unachagua 5 kwenye maombi.. Hvyo unaweza pelekwa yoyote kati ya hzo 5 ulizoomba..?
Your warmly welcome.sawa mkuu mwezi wa kumi na moja nitakucheki hapo mazimbu campus