University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Hapa inabidi kufahamu mana unaweza kaa unasubir kumbe wanajibu kupitia profile accounts
lakini mara zote pia majina huwekwa kwenye website ya vyuo husika. cha msingi ni kukumbuka namba yako ya kidato cha nne ili kurahisisha urahisi wa kuona jina lako kama lipo.
 
Back
Top Bottom