Wakusolve
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 189
- 137
Sua tayari
ADaaah hapa ngoja tusubiri Hadi kesho
SUA wadau wanasema bado
ADaaah hapa ngoja tusubiri Hadi kesho
SUA wadau wanasema bado
Kwanini?Iyo kozi jau...
screenshotSua tayari wadau
Bado mkuuWakuu inamana IFM bado tuu!?
Kuna classmate wangu kapata jana MD cuhas(Bugando)Habari zenu wadau,kuna yeyote aliyepata jibu kutoka CUHAS??
Oh! shukranKuna classmate wangu kapata jana MD cuhas(Bugando)
Wamejibu tangu jana muda kama huuNipeni taarifa jamani, SUA hadi mda huu me sielewi leo tar 30
Ukiona hivyo wamekula kichwa bosi.SUA mbona kimya hadi sasa huku kwenye account..?
Ukiona hivyo wamekula kichwa bosi.
Sasa si bora waweke ujumbe kamili kuwa nimekosa.. Siasa za nn tenaNdo ukweli huo
ukweli mchunguUkiona hivyo wamekula kichwa bosi.
computer science mkuuWakuu nimepata
Mwenge computer science
MWEKA wildlife management
Ni confirm wap
Mawazo yenu Ni ya muhimu Sana wakuu
Kweli kjanaukweli mchungu