University Admission Results 2020

Wakitoa tarehe 29/10 itakuwaje suala la mkopo toka bodi? Maana HESLB nao wapo wanapangia mkopo first year, na walisema tarehe 10/11/2020 wanatoa majina ya wanufaika.

Sasa tarehe 29/10/2020, baadae wapewe hata siku nne za ku confirm vyuo. Hapo itakuwa tarehe 02/11/2020, ndio majina yaende bodi. Mwaka huu mchakato mrefu sana.

Covid19 effects
 
Hii ndiyo Tanzania yetu bhn
Kuna wakati mwanzoni kabla ya majibu ya round ya kwanza, niliwahi muambia rafiki yangu kuwa mwaka huu watu wengi waliomba UDSM, MUHAS, MZUMBE, UDOM, SUA na IFM hivyo kuviacha vyuo vingine kama SAUT,USHIRIKA, MUM nk.

Madhara niliyomueleza ni kuwa uwezekano wa kutemwa wanafunzi wengi ni mkubwa sana kwa awamu ya kwanza, na hii itapelekea awamu ya pili kuwa na mchakato mrefu sana kwani wanafunzi wengi walikosa nafasi.

Zaidi wawe na uvumilivu kwa wale wanaosubilia awamu ya pili.

Kuhusu walioanza kutoa majina sio mbaya kwani haina madhara yoyote.
 
Majina ya second selection so wakisema wanaanza leo? Vipi una detail Kama wameshaanza kutoa majina au la?
 
Uchaguzi mdogo wangu.! Vijana wakichinjwa kipindi hiki lawama zitakuwa nyingi..!
Tusubiri jambo kubwa la kitaifa lipite kwanza ili maamuzi yafanyike.
ilaaa n kwel kwann waweke cku baada ya uchaguziii.....ova thinkng inahtajika aapa...afu na vile wanavosistza et hakuna atakae kosa chuoo sidhan ngja tuonee....ila na beti baada ya uchaguzi tutaona madudu mengiiii aseee
 
Back
Top Bottom