Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 825
Kama kichwa cha habari kinavyosema:
Universal Music Group wamemtunuku tuzo ya 6x PLATNUM award
hit maker wa "HALLELUJAH" Diamond Platnumz uko South Africa kwa wimbo wa "I want Marry you" alomshirikisha neyo.
Ahsanteni timuneyo kwa support mliyoonesha.
God bless you and me.
Tupo pamoja tunapambana na hali zetu.