Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,581
- 46,176
July 4 1776 George Washington aliyaongoza makoloni 13 yaliyokuwa chini ya utawala wa ufalme wa Uingereza kujitangazia uhuru wake na baadaye kutengeneza serikali ya shirikisho iliyodumu kwa zaidi ya miaka 230 bila ya kuruhusu kiongozi wake yeyote kuweza kujitwalia mamlaka na kuwa dikteta.
Ndilo taifa lenye nguvu zaidi duniani lilo na Rais mwenye nguvu kidogo sana katika kuamua uhuru wa raia wake na asiyeweza kuingilia maisha ya raia wake yeyote kirahisi. Ndilo dola lenye nguvu zaidi lakini lisilotisha raia wake.
Waliobuni na kuanzisha serikali ya shirikisho ya Marekani na katiba yake ni majiniasi wa kisiasa kuwahi kutokea duniani baada ya wale wa kigiriki walioipa dunia idea ya demokrasia.
United states is both a nation and an Idea.