UNITED STATES of AFRICA - vs- AFRICAN UNION... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UNITED STATES of AFRICA - vs- AFRICAN UNION...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Nov 14, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Finally; the jury is still out on it.......

  Source link: Ipp Media.

  ---Muundo wa serikali ukikubalika, je utakuwa chachafya ya utatuzi wa mengi ndani ya Africa yetu?
  ---Kama, serikali inaundwa, African Union itakuwa na kazi gani tena?

  SteveD.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 14, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hii ni njozi tu ambayo kinadharia ni nzuri sana lakini kikweli kweli ni ngumu mno na ambayo haiwezekani. Waafrika wengi kitu kinachotuunganisha ni rangi ya ngozi yetu tu lakini si mambo yote. Kama sasa hivi baadhi ya nchi zina migogoro ya ndani sijui hata kama ni wazo zuri kutaka kuunda serikali moja. Nani anataka abebe matatizo ya wengine?
   
 3. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Usimwige Tembo kwa lolote lile!

  [​IMG]

  Mavi ya Tembo moja, ni dawa pia

  Credit mjengwa blog


  Haya sisi yetu macho tu, tunawasubiri wakisha k**** tuangalie mafanikio.
   
 4. H

  Hume JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2007
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Hii ndoto haiwezekani kwa africa yetu!
  Tujibidishe kwenye mambo mengine!
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  We strengthen regional blocks first!

  1. Ghadafi wameshidwa to strengthen North African Magreb Union- sasa anatafuta tuu ujiko wa SSA!
  Huenda anaona anaelekea uzeeni- na angelipenda kuwa raisi wa kwanza- kama M7 anavyotamani EA intergration iwe leo awe the 1st President!

  2. Yaani tunasita kupeleka majeshi Somalia- tunaongea US Africa?
   
Loading...