United Kingdom Yaelemewa na Wabeba Boksi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

United Kingdom Yaelemewa na Wabeba Boksi!!

Discussion in 'International Forum' started by SHERRIF ARPAIO, Sep 8, 2010.

 1. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Uingereza yalemewa na "wabeba boksi"

  Waziri wa uhamiaji asema, idadi ya wanafunzi wa kigeni wanaoruhusiwa kuingia Uingereza "haikubaliki."


  Katika hotuba itakayotolewa baadae, atahoji iwapo Uingereza inawavutia wanafunzi bora- ikiwa nusu tu ya visa zinazotolewa kwa wanafunzi zimetolewa kwa wale wanaosomea elimu ya juu.

  Kauli za Bw Green zinatolewa huku utafiti wa wizara ya mambo ya ndani zikisema moja ya tano ya wanafunzi bado wako Uingereza, miaka mitano baada ya kupewa viza.

  Wizara hiyo imewafanyia utafiti wahamiaji ambao hawatoki Ulaya waliokuja Uingereza mwaka 2004.
  Kundi kubwa zaidi- takriban watu 185,000- walikuwa wanafunzi, na asilimia 21 bado walibaki nchini hata miaka mitano baadae.

  Mwandishi wa BBC wa masuala ya mambo ya ndani Danny Shaw alisema, pamoja na kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi wa kigeni, Bw Green ameamua suala la mabadiliko ya uhamiaji wa wanafunzi kulipa kipaumbele

  Mawaziri pia wana nia ya kutathmini viza za kufanyia kazi kwani mbili ya tano ya kundi hilo wamebaki Uingereza baada ya miaka mitano.

  Kabla ya hotuba yake, Bw Green alisema: " Hatuwezi kuhisi tu kuwa kila anayekuja hapa ana uwezo ambao Uingereza hauna."

  Aliiambia kipindi cha redio cha BBC Radio 4: " Sitaki kuingilia mafanikio yaliyopatikana kwenye vyuo vyetu."

  Bw Green alisema: "Kwanini wanabaki? Wanabaki kufanya nini? Hili ni jambo tunalotakiwa kuliangalia kwa upana zaidi hasa katika mfumo wa uhamiaji."

  Ofisi ya takwimu za taifa zilizotolewa mwezi uliopita zilionyesha uhamiaji umeongezeka kutoka 33,000 hadi 196,000 kwa mwaka 2009.

  Idadi ya viza zilizotolewa kwa wanafunzi zimeongezeka kwa asilimia 35 hadi kufikia 362,015.
  Bw Green alisema takwimu hizo ni ushahidi tosha kuwa serikali ya muungano ilirithi mfumo wa uhamiaji ambao uko "shagalabagala"

  Alisema, " Takwimu hizo zinaniambia kwamba tunatakiwa kuangalia njia nyingine zote zinazotumiwa na watu kuingia nchini, labda kwasababu ya elimu, sababu za kuungana na familia, na pia, hasa, njia zinazowapa ukaazi wa kudumu."

  Chanzo: BBC SWAHILI
   
 2. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You Tanzanians and other Africans need to return to your respective countries ASAP! You are a huge embarrassment, lazy and a growing burden to the British society.

  How comes we, Indians are flocking to your country while majority of you depart? When we, Indians and Chinese, come to invest in Tanzania and Africa you start a litany of endless and unnecessary complaints and whining.

  Tanzania has a good and effective government of the people, for the people and by the people under CCM. Tanzania is the most peaceful of all African states. Stop flocking to the UK and US while your country needs you.

  Long live Tanzania, Long live CCM, Long live JK.

  Vote CCM

  :welcome:
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sirudi Ng'ooooo.

  Ngoja nibaki kufua chupi za Vikongwe na kuvalishwa Gwanda kuwa kama Simba kwenye ZOO zao.

  Nije Tanzania mseme nimeiba mke wa Mtu, aka!!!!!!!!

  UTANI PEMBENI: Mlioko UK, nyie kama maisha yanakwenda vizuri, wee endelea tu. Hii Bongo yetu twaiweza wenyewe wazoefu. Utarudi tu Dar na siku hiyo unakuta akina mama na NDOO wametoka kuchota MAJI na UMEME. Utakaribishwa na Mkeo wa Kizungu kwenye kachumba kana Mshumaa wakati huo mtoto wa watu halali kwa makelele ya generator la Waarabu nyumba ya pili.
   
 4. c

  chama JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thanks you for your good advice, I truly believe you are not Indian as you pretended to be. Indians and Chinese are not in Tanzania to invests, we all know the real deal, just tell me one good potential investment in Tanzania by Indian on Chinese companies? The Tanzanians are suffering because of poor governance, I really don`t understand when you praise Tanzania goverment, do you know that Tanzania goverment is one of the most corrupted system in the world? For that case smell Indians. The goverment is scared of changes thats why we are unable to return home, JK does not value education thats why he has ministers with fake degrees, I never complain, never will I am happy with my life, my education is valued so what do I need? I am proud Tanzanian.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,874
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Vodacom - Rostam Aziz - Indian.
  CCM - Rostam Aziz - Indian.

  Need I say more?
   
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Sikujuwa kama Rostam Aziz ni mwanachama wa JF!!!!

  Since you are coniving with Mafisadis to route our economy now you think you are smarter and an investor. You guys your days are numbered. You better prepare yourself. Afterall you are a good suicide bomber material and Bin Laden cannot wait to meeting you!!!
   
 7. A

  African Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NDIO MHESHIMIWA TANZANIA INA MATATIZO LAKINI WAKUYAPATIA UFUMBUZI NI SIS NA WEWE. kARIBU NYUMBANI TUWAJIBIKE. KUFUA CHUPI ZA VIKONGWE NAKUOSHA MABAKULI NI UTUMWA USO KIFANI UTADUMAZA AKILI YAKO. KARIBU NIKUFUNDISHE MAISHA MDOGO WANGU
   
 8. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. I'm a Tanzanian of Asian origin
  2. CCM has proved to be governing this country under transparent and rule of law, and that's why the Tanzania economy has been doing much better than most African states
  3. Can u support with concrete evidence that our country is one of the most corrupt in the world? We need facts and evidence here
  4. The CCM government has always been advocating for change and that's why CCM introduced multi-partyism in the early 1990's
  5. JK values education, and u can see for yourself the good job he has done so far in establishing more number of varsities and colleges
  6. Name who has a fake degree in the JK's cabinet? Stop lies!
  Vote CCM
   
 9. c

  chama JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Patel, you are trying to hide under the shadow of corruption, Indians are the most beneficiary of corruption in Tanzania.
  1. I am NOT suprised that you are Indian, Indians values corruptions the same way Brazilians values soccer you know what I mean!
  2. What transparency are you talking about? deals like Richmond, Radar or EPA? Tanzania economy is worse compared to countries like Rwanda despite the facts that Rwandans have been engaged in civil wars.
  3. Tanzania ranks 126 out of 180 among most corrupted countries you can check data with Transparency International corruption perceptions index ( CPI), our corruption level has increased in 2008 we ranked 102 now 126,
  4. CCM did not implement multiparty system, all was the pressure from western donors after collapse of USSR we were left with no other choice.
  5. Colleges with no proper tools? go to UDOM and see it
  6. Just to mention few Dr. Mustapha Mkullo, Dr. Mary Nagu, Dr. Nchimbi
  I am not telling you lies, I am just try to educate you
   
 10. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Gabachori - What the a$$ess are TZnian of Asian Origin?
   
 11. i

  igoji Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Patel, you are trying to hide under the shadow of corruption, Indians are the most beneficiary of corruption in Tanzania.
  1. I am NOT suprised that you are Indian, Indians values corruptions the same way Brazilians values soccer you know what I mean!
  2. What transparency are you talking about? deals like Richmond, Radar or EPA? Tanzania economy is worse compared to countries like Rwanda despite the facts that Rwandans have been engaged in civil wars.
  3. Tanzania ranks 126 out of 180 among most corrupted countries you can check data with Transparency International corruption perceptions index ( CPI), our corruption level has increased in 2008 we ranked 102 now 126,
  4. CCM did not implement multiparty system, all was the pressure from western donors after collapse of USSR we were left with no other choice.
  5. Colleges with no proper tools? go to UDOM and see it
  6. Just to mention few Dr. Mustapha Mkullo, Dr. Mary Nagu, Dr. Nchimbi
  I am not telling you lies, I am just try to educate you


  Good, siku moja indians watajuta like in "misissipi masala movie"
   
 12. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwanza wewe sio mbongo 100%...wala huna uchungu na nchi hii au huafatilii yanayojiri katika hii nchi......

  wangapi wameiba na wameambiwa warudishe??? (EPA) then tuje kwenye swala la Ununuzi wa RADA na NDEGE YA RAIS...SFO wameshatoa mpk evedence kwa wahusika wa Rada na hawajachukuliwa hatua mk wengine wakadiriki kuropoka kuwa wana vijisenti ilhali kuna watanzania wanashindia mlo mmoja......Shut up and think big.....THIS COUNTRY has lost its path on leadership point of view..... wewe utakuwa one of beneficiaries thus why unaona kila kitu kipo sawa........Unataka evidence gani?????????????????
   
 13. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huna haja ya kenda Mbali....Atatokea Idd Amin Kind of peson na kuwapa six hrs wawe wamepotea katika hii nchi....Najua uchumi utayumba kiasi ila itakua ni mwanzo wa kurebuild our economy na life status ya Mtanzania halisi itapanda........
   
 14. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mpiga box huko UK ,anasomesha watoto wake first class school.Anakaa nyumba ya umeme na vyoo vya kuflash.Akiumwa anaenda hospital na kukutana na first class doctors.
  Kwa nini aje huku TZ,wakati nchi inakwenda chini kila siku.Akiwa huko Uk,hawezi kuvamiwa na wezi ni vigumu kupata magonjwa,vilevile chance ya kupata ajali ni ndogo sana kama ukiwa BOngo


  Kuhusu Wahindi huko UK,ndio hao wanafake colleges za wanafunzi.Kwa hiyo Mhindi sio Tanzania tu,hata wazawa UK wamewashutukia sasa.Wako utiriri,kila siku wanataka kuingia UK,kama India ni kuzuri wange kaa kwao tu.
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hiki kibwagizo nimeshakisikia mara nyingi sana............ kinafurahisha, kinakaribisha maswali mengi sana...
   
 16. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Fu*k y*u
   
 17. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Indians residing in Tanzania are sucessful because of hard work and personal sacrifice.
  They don't waste their valuable time singing "Bongo flavor" all day!
  UDOM is by far the best varsity in all E. Africa.
  No indian was linked with EPA whatsoever.
  Nkulo went to UCLA, Nagu-UDSM, May be Nchimbi is the one with Masters and PhD from non-accredited online university.

  Vote CCM
   
 18. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hey Questt,

  I am with you but let me say something a little bit different to what you have said. If these thieves leave our country, the economy will become stronger and not weaker. The reason I am saying that is, the hard earned money they get from their businesses is kept either under the mattress or in off shore banks. So if they are kicked out of the country there will be no effects on our banks or financial institutions. Also, some of the corrupt money will at least go to locals instead of these thugs.

  Other than that, I think they are very scared right now.
   
 19. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM is the best!
  This country is for all races and we, Tanzanian of Asian and European descent we will never run away from our beloved country. We are not scared in any way. You're the one who's upset because CCM will win it again on Oct. 31st.....by a landslide.
  Go JK:welcome:
   
 20. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Si ni bora kuwa mtumwa ugenini (tena kwa hiari) kuliko kugeuzwa mtumwa nyumbani (kwa lazima).My point is, hapa hulazimishwi kubeba boksi au kufua chupi za vikongwe,unajipeleka mwenyewe ili kuchuma pounds (and don't forget £1is roughly Tshs 2300).Unavuja jasho kisha unapewa stahili yako na maisha goes on bila kusahau moneygram/westernunion/wapemba kuwakwamua ndugu na jamaa bongo.Bongo,only means ya kumudu maisha ni kufisadi.Na wanaojituma kwa ajili yao binafsi au jamii wanaishia kufisadiwa.Wakidai haki zao wanaambiwa kura zao hazihitajiki (imagine Gordon Brown,Cameron au Nick Clegg saying that...)

  You know what,choose your life and love your choice.That is,however,only possible mahala panapotoa fursa ya kuchoose life na kuheshimu choices za raia.

  Najua natumikishwa lakini at least nina excuse kuwa nipo ugenini.What about wanaonyanyaswa ndani ya ardhi yao?
   
Loading...