United African University in Tanzania VS Mum University

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,090
2,000
Habari za saa,

Naomba kupata taarifa kuhusu hivi vyuo hasa kwenye course ya Business Administration.

*Mazingira ya vyuo hivi na Fursa zilizopo katika vyuo hivi.

*Gharama za maisha
 
SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
835
1,000
Kwa gharama ya maisha kiujumla MUM kuna unafuu mkubwa.

Ila kwa upande wa ada United African University wana unafuu kiasi.

Kuhusu kozi ni juhudi zako tu za kupambana na kujiongeza ili uwe competent.

Ukitaka kujifunza na KICHINA nenda MUM,

ila ukitaka kujifunza na KIKOREA nenda UAUT.
 
Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,090
2,000
Ba

Barikiwa sana mkuu. Vipi kuhusu imani za kidin
 
SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
835
1,000
UAUT ni cha wakristo sijajua dhehebu gani ila MUM ni cha waislam kama jina lake lilivyo.

Vyuo vyote havibagui nani wa kumdahili kwa misingi ya dini. UAUT utakutana na watu wa dini yoyote na hata MUM utakutana na watu wa dini yoyote.

Kikubwa na muhimu ufuate taratibu na sheria za chuo kama kilivyojiwekea.

Wakikataza, kwa mfano,
1. usiingie ndani ya chuo ukiwa na kilevi cha aina yoyote, ima nje au ndani ya mwili wako, fanya hivyo.
2. usiingie chuoni bila kitambusho husika, fanya hivyo.
n.k
Au sio kijana.
 
Nimekuelewa. Kwa uzoefu wako una recommended asome kipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom