Kaka Kapo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2012
- 535
- 329
Ndugu wanajamvi naomben msaada wa maelezo kuhusiana na UTT
Nilinunuaga units 100 mwaka 2005 walipokuwa wanazitangaza by then I was a student in kilimanjaro nikasuggest badala ya Kuwa napewa pesa wakati wa kugawana faida pesa yangu iwe inatumika kununua units!
From then till now sikuweza kupata information zozote kuhusiana na hii kitu! Mwakajana mwezi 12 nikapokea text Kuwa inabidi niwe moshi kunakikao cha wanachama I couldn't go coz was sick by then!
Sasa now am in dar es salaam nipo ninakijiajira kinachonipa elfu mbili za msosi nataka nijinyime niwekeze kwa hii kitu au ingine yoyote ya aina hii kwa ajili ya maisha yangi ya badae!
Swali langu je naanzia wapi kujua nini status yangu huko UTT na kama kuna mwanajamvi yeyote ambaye pia ni mwanaUTT na aliatend hicho kikao cha mwaka Jana Dec unaweza kunijulisha nifanye nn nipate kujua nna hisa kiasi gani mpaka leo! ntashukushukuiru sana ww utakaye changia kunipa ufahamu zaidi
Naomba radhi kwa post ndefu...