Unique Dadaz: Wako wapi hawa wanamuziki?

Hahahaha bahati mbaya hata mimi siwajui mjukuu mpenzi. Lakini nilikuwa nimeshazaliwa naamini
We najua mziki sio mambo yako,unapenda vitu vingine vingine tu. Hata mie lazima nilikua nimezaliwa hapo
 
We najua mziki sio mambo yako,unapenda vitu vingine vingine tu
Hata mie lazima nilikua nimezaliwa hapo
Ewaaa niache kugonga K Vant na papuchi eti niko bize nafuatilia Unique Sisters. Unique Sisters naowajua mimi ni hawa mabinti zangu sita japo kila mmoja ana mama yake. Potelea mbali
 
Kuna mwanamke ananipa kiwewe/ yaani mchana akikosa usiku najihukumu mwenyewe/ sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema/ kwa kweli naona ni vyema kuweka nanga mapema
 

Attachments

  • Unique_Dadaz_feat_Hashim_Dogo_Sikiliza.mp3
    4 MB · Views: 15

Similar Discussions

Back
Top Bottom