Unipogundua boyfriend ana wapenzi wengine zaidi yako wewe ulifanya nini?

Pole sana ila jua hamna kijana labda awe mshamba na ana mapungufu anae date na single girl friend....formular for successful men ni.....take five select four choose three love two marry one.
Inafahamika wanaume mpo hvyo lakini asi datee na rafiki, mtu wa karibu au ndugu hiyo kitu sio pow kabisa si upande wa ke au me
 
Dah....ile meli inaanza kuzama tu...unatoa kicheko cha dharau kwa sababu ya maboya yako.....unacheki boya la kwanza limetoboka.....na pili nalo...unakimbilia la tatu linakuponyoka....unakumbuka la nne unakuta mwenyewe kalivaa....utapata tabu Sana
Mkuu acha kabisa uyo ndo mm maboya yangu yote yanapancha coni hata moja lakunifikisha nchi kavu ...
 
Inafahamika wanaume mpo hvyo lakini asi datee na rafiki, mtu wa karibu au ndugu hiyo kitu sio pow kabisa si upande wa ke au me
Wanaume when it comes on the issue of sex wanapoteza fahamu ila sio wote, kama anaweza aka datee na house maid anae pokea mshahara wa 30,000 kwa mwezi hana mbele wala nyuma, sembuse ndugu wa girl friend wake, la kufanya keep ndugu zako away from your fiancee, lakini kawaida mwanaume hawezi kuacha kudatee eti ndugu wa rafiki yake labda kama hajampenda tu.....
 
Mara nyingu hao watu wako wa karibu wanatoaga green light..

Inaelekea jinsi unavyomwadithia story zako naye anasikia wivu, anatamani na yeye iwe hivyoo..

Na mwanaume natural, ana tamaa muda wote... si akijipitisha analiwa tu fasta..
 
Nilipogundua nliamua kumwacha in a civil way..hakuamini! maana hadi kwao alishanitambulisha na alijua sina jeuri ya kumuacha vile nlikua nampenda
Ni miaka 4 sasa sijui hata yuko wapi
Ukija kuta yuko marekani kaoa mlatina utafanyeje
 
Kwa taarifa yenu n kuwa 70% ya wanaume wanamichepuko so hata ukimuàcha mwanaume kisa ana mchepuko utaangukia kwa aliyeachwa na mwenzio kisa uchepukaji......mwanaume mwenye mwanamke mmoja tu n nadra sana kumpata enzi hizi
 
Kumbe sisi waaminifu toka wachachee eh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom