Kidzogolae
Senior Member
- Apr 20, 2008
- 133
- 2
Wengi tunaelewa kuwa, baadhi, nasema baadhi ya wandugu zetu wa Nigeria, kipindi cha nyuma wamekuwa wakisifika sana kwa ulaghai, hasa wa kuwaibia hela watu mbumbumbu au wasio na elimu ya kutosha. wamejaa humu kwenye net. wengi hapa bongo wameliwa hela zao, baada ya kudanganywa kuwa wameshinda loto, na wengine kuambia wamepata scholarship hivyo watume hela na vitu vingi. Inavyoonekana, hivi vitu huwa vinafanywa na watu walioenda shule, kwasababu wanao uwezo mkubwa sana wa kumshawishi mtu hadi aingie laini. Zamani walikuwa wanigeria, lakini kwa muda karibia miaka mitano sana, Wakenya wametawala kwa wizi wa aina hiyo hapa East Africa....., naomba mnielewe, mimi sina chuki binafsi na wakenya, ila naongea kitu cha kweli.
Wametokea mara nyingi sana kuwadanganya watz, na wamewala hela nyingi sana. siku hizi, wanawadanganyishia watu kuwa wameshinda shindano la bahati nasibu, either ya voda com, tigo, au celtel n.k. mimi vilevile nimepata msg mara nyingi sana za aina hii. Mara nyingi watu wa vodacome, celtel au hao wengine, wamekuwa wakiwaelimisha watz kuwa, ukiona mtu anasema umeshinda na anakupa private number, sio customer service number, ujue ni mwizi. watu hawa wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa wameshina pesa nyingi, na ili kuzipata, inabidi wa confirm kama ni wao(wananchi)kwa kuwatumia either dola kumi za vocha n.k, na watu wengi sana wameliwa.
Leo hii, wamemwandikia msg msichana wangu wa kazi, wanasema ameshinda million kumi, na kwa maelezo zaidi, apige number 0754 625389. msichana wangu alikuja akirukaruka, akisema ameamka tajiri....hahaha, nilichukia baada ya kushtukia, nikaamua kumpigia huyo jamaa ile number, akapokea....NILISIKIA JAMAA AKIONGEA KISWAHILI CHA KIKENYA KABISA JAMANI. kama hamniamini, jaribuni kumpigia jaa hiyo simu hapo juu, ndo tapeli mwenyewe....anaongea kiswahili cha kikenya. alipoona anaongea na sauti nzito ya mtu mwelewa na anaeonekana kama ni msomi wa nguvu(yaani mimi), akakata simu haraka, nilipiga hadi nikashindwa walau nimtukane, akazima kabisa ile simu.
hawa watu tutawakamataje? naombeni msaada. na wako hapahapa tz. hawa ndo watu wanaosema wanataka kujiunga na sisi ati. watu wengi nimesikia wameliwa vocha zao kwa namna hii. hebu mpigieni simu muone...ninyi wenyewe mtaona jamaa anaongea kikenya kabisa.