Uniform Za Walinzi

conrym.conrym

Member
Jul 24, 2014
99
7
Habari Wadau, nina tafuta haraka sehemu nzuri ambapo naweza pata uniform za walinzi au kushonesha kwa haraka na kudarizi logo ya kampuni. rangi ya kampuni ni navy blue. pia viatu na mikanda na kofia. ni PM
 
Weka namba yako hapa nikupigie
 
Back
Top Bottom