conrym.conrym
Member
- Jul 24, 2014
- 99
- 7
Habari Wadau, nina tafuta haraka sehemu nzuri ambapo naweza pata uniform za walinzi au kushonesha kwa haraka na kudarizi logo ya kampuni. rangi ya kampuni ni navy blue. pia viatu na mikanda na kofia. ni PM
Weka namba yako hapa nikupigieHabari Wadau, nina tafuta haraka sehemu nzuri ambapo naweza pata uniform za walinzi au kushonesha kwa haraka na kudarizi logo ya kampuni. rangi ya kampuni ni navy blue. pia viatu na mikanda na kofia. ni PM
Uko mkoa gani?
nimekupata kakanme kuPM mkuu nicheki
Weka namba yako hapa nikupigie