Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

Alisema idadi ya wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja Zanzibar ni 3,300 ambapo Unguja ni 3,300 wakati Pemba ni 300.

Alisema asilimia kubwa ya maambukizo ya Virusi vya Ukimwi yapo kwa makundi maalum yakiwamo wanawake wanaofanya biashara ya miili yao ambayo ni asilimia 12, wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja asilimia 5 na wanaotumia dawa za kulevya kwa kujidunga sindano asilimia 5.1.

Alieleza takwimu hizo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya Zanzibar mwaka 2018 ambapo watu 2,600 Zanzibar wanatumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano Unguja ni 2,200 na Pemba ni 400.
Total population ya Unguja ni ngapi
 
Si Zanzibar huko, ambako 99.9% ni Waislam, hakuna sehemu yenye concetration ya Waislam wengi kwa Tanzania zaidi ya Zanzibar ndio maana nikapaita kitovu cha Uislam TZ
Sio mzima wewe, inamaana waislam waliopo zanziba ni wengi kuliko wsliopo dar? Kwa taarifa yako huko zanziba hata watu milioni 2 hawafiki, halafu hao wanaojiuza huko sio wote ni kutoka zanziba wengine wametoka bara
 
njoo kwenye hoja, kwanini zanzibar 99% ni maustaadhi lakini tafiti zinasema watu zaidi ya 3,000 ni mashoga? mnafeli wapi? na kwanini watoto wa kiarabu wengi wanaolewa hawana bikra ya nyuma, kwanini zanzibar, tanga na mombasa inajulikana kua ni kitovu cha ushoga? mnafeli wapi? inakuwaje kwenu yanatokea mapunga mengi kiasi hicho? acha kuzungukazunguka, why inajulikana kuwa wapemba wanapenda matako? waarabu wanapenda matako? why? acha kuficha uovu.
Mkuu kwani zanziba wamepiga marufuku wageni kuingia?
 
Sio mzima wewe, inamaana waislam waliopo zanziba ni wengi kuliko wsliopo dar? Kwa taarifa yako huko zanziba hata watu milioni 2 hawafiki, halafu hao wanaojiuza huko sio wote ni kutoka zanziba wengine wametoka bara
Mkuu unaelewa maana ya concetration?
 
Inaaminika Visiwani ndiyo sehemu salama zaidi sababu ya madili ya dini...

Leo hii ndiyo wanaongoza kwa usodoma, inasikitisha sana...
 
Ulikuwwa unajenga hoja sasa umehamia kwenye matusi.
Ni kweli mkuu ila wao ndio walianza hayo matusi na ikawa hakuna jinsi kwani kila nikijenga hoja wao wanaleta matusi nikashindwa kuvumilia kama mwanadamu,
Samahani sana kwa wote niliowakwaza,
Ukweli ni kwamba makosa hufanywa na wanadamu na haijalishi ni wa dini gani
Once again sorry kwa wale wote wameathirika kwa namna yeyote
#situkanidininapingamatusi
 
Ni kweli mkuu ila wao ndio walianza hayo matusi na ikawa hakuna jinsi kwani kila nikijenga hoja wao wanaleta matusi nikashindwa kuvumilia kama mwanadamu,
Samahani sana kwa wote niliowakwaza,
Ukweli ni kwamba makosa hufanywa na wanadamu na haijalishi ni wa dini gani
Once again sorry kwa wale wote wameathirika kwa namna yeyote
#situkanidininapingamatusi
Huo ndio ubinadamu..tumekusamehe..tujitoe kuelimisha ndugu zetu wazanzibari na kwingineko kuachana na huu ufuska mana ni janga kwa jamii zetu zote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huo ndio ubinadamu..tumekusamehe..tujitoe kuelimisha ndugu zetu wazanzibari na kwingineko kuachana na huu ufuska mana ni janga kwa jamii zetu zote.

#MaendeleoHayanaChama
👍
Ila acheni chuki
Munanifanya mpaka nahisi hivi kweli hawa wanaotukana uislam ni wakristo kweli?
Au ni Freemason?
Nafasi kidogo tu ya kosa basi weeee si kashfa hizo tena za reje reja
Any way big up
Tupambane pamoja kumshinda shetani
👍
 
Jana ulimshambulia Mzee wetu baada ya kuleta historia we kiumbe punde chupi utavaa kichwani badala ya makalioni kule kwenye ule uzi hukuonesha rangi yako halisi ukajidai kwamba Mzee anapendelea analeta history ya majina ya kiislam tu.
nilikuwekea na clip pale inayoonyesha Mohamed Said akiwatangaza wakristo wa Tanzania kuwa ni makafiri. usisahau hilo pia kwa huyo mzee wenu pendwa.
 
Duh muongo wa kutupwa nyie si ndio na vyeti munapeana kabisa?
Wakristo mumeupenda mchezo mpaka mumeruhusu wanajme kwa wanaume waoane
vyeti gani tunapeana aisee, upo Tanzania kweli? kwani ndoa za mapunga Tanzania zinaruhusiwa? unaongea kwa mhemko bila hata uelewa mzuri kichwani na huujui ukristo. ukweli ubaki ukweli, zanzibar miaka yote inasifika kwa kuwa na mapunga mengi, wanasifika kuingilia wanawake kinyume, wanasifika kuingilia vitoto ndio maana hata mkija huku bara ukiona mpemba tu watu huwa wanachunga watoto wao wasiwe karibu naye kabisa. huu ni ukweli usiohitaji ubishani.
 
Nani anazo Takwimu za Bara kwa maana jinsi maisha yalivyokuwa magumu Makahaba na Mashoga wanapigana vikumbo kugombania Wanaume wa Chipsi yai almaarufu kama "Wanaume wa Dar".
 
Hivi si ndio huko hukoo ikifika ramadhani wanapiga mijeredi wanao kula mchana?, kisa mfungo?..

Kwamba wao kutofunga ni kosa kuubwa kuliko zibuliwa/kuzibua mitaro?
 
Back
Top Bottom