Unguja waongoza kwa elimu duni

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,334
3,004
Nimeskitishwa sana na shule top ten 10 VILAZ,A Majority kutoka Tanzania Zanzibar hasa UNGUJA.

Zanzibar inasadikika kuwa na wakazi wachache sana kutokana na takwimu na maelezp ya Mbunge Ally Kessy!! Nimategemeo yangu kuwa ktk National Ranking wangeongoza katika mitihani yote (iwe std 7, Form 4 au Form 6) kutokana na ratio ndogo kati ya MWL na mwanafunzi au kati ya kitabu na Mwanfunzi. Maajabu, ni vice versa, baada ya Matokeo ya kidato cha sita kutangazwa majuzi Unguja ndio vinala wa kuzalisha vilaz,a Tz, Tazama hapa.

Shule 10 zilizofanya vibaya katika mitihani ya mwisho ni:
  1. Shule ya Mpendae (Unguja) yenye wanafunzi 100 [ya mwisho kabisa]
  2. Ben Bella (Unguja) yenye wanafunzi 101
  3. Tumekuja ya Unguja (178)
  4. Green Bird Boys ya Kilimanjaro (37)
  5. Jang’ombe ya Unguja (46)
  6. Kiembesamaki ya Unguja (123)
  7. Tanzania Adventist ya Arusha (65)
  8. Al-ahsan Girls ya Unguja (47)
  9. Azania ya Dar es Salaam (235)
  10. Lumumba ya Unguja yenye wanafunzi 137
Ushauri:
1. Itikadi za dini yoyote ile zizuiwe ktk mfumo wowote ule wa Elimu; mf. Hijabu zipigwe marufuku, suluali kwa wasichana marufuku.Wanafunzi Wanabobea kwenye dini kuliko Elimu dunia.
2. Viboko virudishwe kwa kasi zaidi, tena kila adhabu vianzie 3 na kuendelea. Watoto wana viburi balaa.
3. Walimu wote wapya na walio kazini waendelezwe JKT
4. Walimu wawe watu walio faulu SIYO walio feli. Mshahara wa kuanzia 1M unahitajika kwa hili kuvutia walio faulu.
5. Simu ziwe marufuku either Nyumbani au shuleni kwa mwanafunzi.
6. Shule zote ziwe za boarding, tena kwa kubadilishana na kuchangamana, mf. Kagera aende Mara, na wa Mara aende Kilimanjaro na wa Kilimanjaro aende Kagera. Shule za kata baada ya miaka 20 ijayo zitatuletea ukabila usio kuwa na kipimo!!
7. Walimu wanao jihusisha kimapenzi na wanafunzi wao , wafukuzwe kazi na kushitakiwa.
8. Neno Tuition ningelipenda li ingie Makumbusho hapa Tanzania.
9. Kujaza Walimu -wake wa wakubwa Mjini ikomeshwe!! Wengi wao ni vilaz,a hivyo watoto pia kuwa vila,za.
10. Wazazi tuzuie watoto kuangalia TV kila wakati (Movie za JB, Wema, Kifilipino, Burecelee, Rambo, nk).
11. Wazazi, tuache ulimbukeni, eti mtoto ana miaka 3; simu ikipigwa anapewa "msalimie/ongea" na bibi yako.
12. Wazazi tuwakague watoto madaftari na tuige ziara za kushitukiza kama za Mhe: Dr. JMP za kushitukiza kwa watoto mashuleni, wengi hawafiki-huishia magetoni kwa baodaboda!!
13. Idara ya ukaguzi nyanja zote iimarishwe. Wakaguzi wawe walio faulu vzr tu shuleni. Pia wasifanye ziara ile kama dili kwao (kupiga hela za Allowance na kuomba rushwa kwa Walimu wakuu na Ma Headmasters).
14. Prof. Ndalichako kaza buti, tumbua daily!! Vichwa vya watu vina kutu-haviskii.
Ni hayo tu kwa leo.
 
Umemaliza kila kitu. Mi nashindilia kwenye twisheni. MWanafunzi hamsikilizi mwalimu kwa sababu wazazi wamemtafutia mwalimu wa twisheni. Huko twisheni na madrasa mabinti ndo wanamalizana na wanaume. Walimu hawafundishi kwa kuweka mtego wanafunzi wakimbilie twisheni.
 
Huo ushauri wako wakwanza sikubaliani nao hapo unaingilia dini hasa ya kiislam masomo ya dini ni muhimu pia
 
Hapo kweli maana kule masomo wanayo faulu ni hayo ya kidini unajua Zanzibar wana copy tamaduni za kiaarabu thus lazima wawe vilaza
 
Bila shaka mleta mada ni mwalimu mwenye uchungu kama mimi.......

Hongera Mwalimu kwa kuliona hilo na kuishirikisha jamii
 
Huo ushauri wako wakwanza sikubaliani nao hapo unaingilia dini hasa ya kiislam masomo ya dini ni muhimu pia
Siyo lazima iwe waislamu tu, kuna Adventist/Wasabato pia ni tatizo. Hapo kwenye top Vimeo nao wamo. Pia namaanisha taratibu kama za miaka ya 1990 shuleni zirudishwe-shule hazikuwa na imani hapa Tz.
Kwa Tz Bara mikoa yenye Waislam wengi Mf .Pwani, Lindi, Mtwara na Tanga imekuwa pia ikiburuza mikia kila mwaka.
 
Nimeskitishwa sana na shule top ten 10 VILAZ,A Majority kutoka Tanzania Zanzibar hasa UNGUJA.

Zanzibar inasadikika kuwa na wakazi wachache sana kutokana na takwimu na maelezp ya Mbunge Ally Kessy!! Nimategemeo yangu kuwa ktk National Ranking wangeongoza katika mitihani yote (iwe std 7, Form 4 au Form 6) kutokana na ratio ndogo kati ya MWL na mwanafunzi au kati ya kitabu na Mwanfunzi. Maajabu, ni vice versa, baada ya Matokeo ya kidato cha sita kutangazwa majuzi Unguja ndio vinala wa kuzalisha vilaz,a Tz, Tazama hapa.

Shule 10 zilizofanya vibaya katika mitihani ya mwisho ni:
  1. Shule ya Mpendae (Unguja) yenye wanafunzi 100 [ya mwisho kabisa]
  2. Ben Bella (Unguja) yenye wanafunzi 101
  3. Tumekuja ya Unguja (178)
  4. Green Bird Boys ya Kilimanjaro (37)
  5. Jang’ombe ya Unguja (46)
  6. Kiembesamaki ya Unguja (123)
  7. Tanzania Adventist ya Arusha (65)
  8. Al-ahsan Girls ya Unguja (47)
  9. Azania ya Dar es Salaam (235)
  10. Lumumba ya Unguja yenye wanafunzi 137
Ushauri:
1. Itikadi za dini yoyote ile zizuiwe ktk mfumo wowote ule wa Elimu; mf. Hijabu zipigwe marufuku, suluali kwa wasichana marufuku.Wanafunzi Wanabobea kwenye dini kuliko Elimu dunia.
2. Viboko virudishwe kwa kasi zaidi, tena kila adhabu vianzie 3 na kuendelea. Watoto wana viburi balaa.
3. Walimu wote wapya na walio kazini waendelezwe JKT
4. Walimu wawe watu walio faulu SIYO walio feli. Mshahara wa kuanzia 1M unahitajika kwa hili kuvutia walio faulu.
5. Simu ziwe marufuku either Nyumbani au shuleni kwa mwanafunzi.
6. Shule zote ziwe za boarding, tena kwa kubadilishana na kuchangamana, mf. Kagera aende Mara, na wa Mara aende Kilimanjaro na wa Kilimanjaro aende Kagera. Shule za kata baada ya miaka 20 ijayo zitatuletea ukabila usio kuwa na kipimo!!
7. Walimu wanao jihusisha kimapenzi na wanafunzi wao , wafukuzwe kazi na kushitakiwa.
8. Neno Tuition ningelipenda li ingie Makumbusho hapa Tanzania.
9. Kujaza Walimu -wake wa wakubwa Mjini ikomeshwe!! Wengi wao ni vilaz,a hivyo watoto pia kuwa vila,za.
10. Wazazi tuzuie watoto kuangalia TV kila wakati (Movie za JB, Wema, Kifilipino, Burecelee, Rambo, nk).
11. Wazazi, tuache ulimbukeni, eti mtoto ana miaka 3; simu ikipigwa anapewa "msalimie/ongea" na bibi yako.
12. Wazazi tuwakague watoto madaftari na tuige ziara za kushitukiza kama za Mhe: Dr. JMP za kushitukiza kwa watoto mashuleni, wengi hawafiki-huishia magetoni kwa baodaboda!!
13. Idara ya ukaguzi nyanja zote iimarishwe. Wakaguzi wawe walio faulu vzr tu shuleni. Pia wasifanye ziara ile kama dili kwao (kupiga hela za Allowance na kuomba rushwa kwa Walimu wakuu na Ma Headmasters).
14. Prof. Ndalichako kaza buti, tumbua daily!! Vichwa vya watu vina kutu-haviskii.
Ni hayo tu kwa leo.
Hamuoni kuwa huo ni mgomo pia !!! yaani hata wanafunzi wamegoma kutii.......
Hizo shule ulizo oredhesha zilikuwa zikiongoza kwa elimu na matokeo mzauri enzi hizo hadi 1960~70s!!
Sasa jiulizeni....(1000?)

maharco Mbekenga wise samura evonik Mahesabu Nyie mnaijua Zanzibar au mnawasikia waZanzibari??
 
Ndugu, sikweli kwamba dini, inachangia kufeli,mfano umetaja hijabu,kwa waislamu ni lazima kuvaaa,pia hakuna uhusiano Wa kufeli na hijabu,,, Mwanafunzi yeyote akiwa anafuata mafundisho ya dini,hawezi feli,mfano,kuna maalifa ya uislam,baibo noleji,nk huyu mwanafunzi atafaulu masomo haya kama kweli anazingatia dini,pili atakuwa busy na kuachana mambo ya starehe,,hivyo dini inaweza msaidia mwanafunzi kufaulu sio kufeli kama kweli anafuata maamulisho ya dini husika,,rejea kina Plato na St Augustine wanaelezea role of religion in education,hivyo kufeli au kufaulu kunategemea, Huyo mwanafunzi yupo mazingira gani(shule) pili,Utayali Wa mwanafunzi kujifunza,nk
 
Sidhani kama St. Augustino of Hippo alikuwa amesoma, japo alikuwa na maona hayo. Pia kila kiyu kina kiwango chake, NOT too much of it!!
Tatizo hapa ni kuwa watoto wanatumia muda mwingi sana madrasa kuliko Tuition!!

Uzi huu haulengi dini flani!! Laa asha!! Uzi huu unajikita ktk kuboresha Elimu ya Tz kwa ujumla bila kujali misingi ya dini yoyote ile.
 
No research no right to say,, Ndugu Fanya utafiti utajua kwa nini wanafeli, hapa, mtoto anayeenda madrasa akijitambua hawezi feli ,ila kama hajitambui,pia unapitafuta sababu ya kufeli not depend to one factor,kuna sababu nyingi zinazowafanya wafeli,,hata huku bara zipo,shule pure Islamic mbona. Hawafeli?why Zanzibari? Fanya utafiti utajua sababu zingine
 
Sija andika kwa hisia. Angalia ushauri no 1 hadi 13 ni sababu pia.
 
Back
Top Bottom