Ungo utumike kama chombo cha usafiri kama ilivyo vyombo vingine vya usafiri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungo utumike kama chombo cha usafiri kama ilivyo vyombo vingine vya usafiri.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pedeshee kiraka, Aug 9, 2012.

 1. P

  Pedeshee kiraka Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ungo unaotumiwa na wachawi kama chombo cha kusafiria katika shughul zao za kiuchawi, mimi nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala la ung'o hii kwangu ni kama teknolojia kubwa sana ya waafrica kama tungeweza kuimaintain nasi tungetisha kwel, kuna kipindi ungo uliwahi kujadiliwa kwenye bunge lkn hili
  Halkufika muafaka, usafiri huu kwa taarifa zilizopo ni kwamba ungo ni usafiri wa haraka sana mfano kutoka tz hadi london inachukua dakika 45 tuu
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red umenitisha,kama ni kweli inabidi huu usafiri uboreshwe usitumike kama uchawi
   
 3. P

  Pedeshee kiraka Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tungeweza kuondoa huo uchaw unaotumika tugundue hiyo teknolojia wanayoitumia ingekuwa ni teknolojia kal sana na tungewashinda hawa maexploiter wa kizungu mie nawalaumu sana.
   
 4. f

  filonos JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  UNGO wa jikoni au UNGO wa ANTENA .TV ??? maana tuanze kutegasha UMEME kabisa kwani itakua deal hiyo bongo....mala Tv haionyeshi mtu kajaa ndani yaungo ....mmmm...daladala si ajila itakua hamna tena??
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mafuta yake ni damu ya mtu, baada ya muda watu watapungua!
   
 6. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Peleka maombi ya leseni sumatra.
   
Loading...