Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Muumini mmoja katika kanisa fulani kijijini alikuwa haridhishwi na mkewe katika kufanikisha tendo la ndoa kiasi cha kuamua kuomba ushauri kwa mchungaji wao. Mchungaji akamweleza yule muumini ampe muda atalishughulikia na kumpa ushauri unaofaa zaidi, muumini akakubali. Baada ya wiki mbili jamaa akaitwa na yule mchungaji. Mchungaji akamweleza yule jamaa kwamba kamwe asithubutu kumwacha mkewe kwani alivyofanya uchunguzi na ulinganifu aligundua kwamba mkewe ndio mwanamke mwenye ujuzi mwingi kitandani kuliko mwanamke yeyote pale kijini ila alimtaka ajitahidi kumwandaa vema kabla hajamnanihii. Kama wewe ndo ungekuwa huyo jamaa ungeupokeaje ushauri huu?