Ungeupokeaje Ushauri huu?

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Muumini mmoja katika kanisa fulani kijijini alikuwa haridhishwi na mkewe katika kufanikisha tendo la ndoa kiasi cha kuamua kuomba ushauri kwa mchungaji wao. Mchungaji akamweleza yule muumini ampe muda atalishughulikia na kumpa ushauri unaofaa zaidi, muumini akakubali. Baada ya wiki mbili jamaa akaitwa na yule mchungaji. Mchungaji akamweleza yule jamaa kwamba kamwe asithubutu kumwacha mkewe kwani alivyofanya uchunguzi na ulinganifu aligundua kwamba mkewe ndio mwanamke mwenye ujuzi mwingi kitandani kuliko mwanamke yeyote pale kijini ila alimtaka ajitahidi kumwandaa vema kabla hajamnanihii. Kama wewe ndo ungekuwa huyo jamaa ungeupokeaje ushauri huu?
 
siku zote udhaniaye siye...ndiye!! ningemkata huyu Mch kichwa moja mpk apoteze kumbukumbu...
 
Hiyo ni face2face au kwa simu?
Mbona physical appearance ya Mchungaji inge'change' x1 !!!!!!!!!!!!!
 
duh!! hapo basi tena mchungaji amesha mchakachua mke wa jamaa.
 
kwani alipomwambia mchungaji alitegemea nini ? Keshaliwa huyo sasa amua moja uendelee nae au umwache ili mchungaji afaidi
 
ningeongeza sadaka kanisani kwa ushauri mzuri alionipa, duh mchungaji ni kichwa mbaya.....
 
Back
Top Bottom