masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 15,663
- 12,328
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini?
Anaekupenda au unaempenda?
Anaekupenda au unaempenda?
kwa nini???Masai umebadilika Leo
kwa mfano ungepata nafasi kati ya yule unaempenda sana na yule anaekupenda sana uchague yupi akuoe ungechagua yupiMimi naona yeye ndio ananipenda kuliko mimi........japo na mimi pia namkundarie ile mbaya..........
unaweza kumuacha unaempenda kwa sababu ya anaekupenda?Duh ningechagua anaenipenda
unaweza kumuacha unaempenda kwa sababu ya anaekupenda?
ukiwa unampenda mtu hayo yote huna habari ayo unachowaza ni how you feel juu yake naamini ushapendaNaweza...
Kwa sababu naweza kumpenda mtu kumbe yeye hana mapenzi na mimi nae kuna mtu anaempenda
ukiwa unampenda mtu hayo yote huna habari ayo unachowaza ni how you feel juu yake naamini ushapenda
lakini kusema umuache huyo mtu kwa sabbu kuna mtu anaekupenda na wewe umpendi kwa kweli ni kitendawili
ila umetoa sababu nzuri
kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??
anaekupenda au unaempenda
Unajua mauzauza ya mtu unaempenda halafu yeye anatumia nafasi kuwa anakunyanyasa? mbona utabaki kama moja kwa stress
Bora anaenipenda asee, huenda nami nkamzoea au akanvutia nami nkavutika kumpenda!