Ungepewa nafasi uchague

Mimi naona yeye ndio ananipenda kuliko mimi........japo na mimi pia namkundarie ile mbaya..........
kwa mfano ungepata nafasi kati ya yule unaempenda sana na yule anaekupenda sana uchague yupi akuoe ungechagua yupi
 
Naweza...

Kwa sababu naweza kumpenda mtu kumbe yeye hana mapenzi na mimi nae kuna mtu anaempenda
ukiwa unampenda mtu hayo yote huna habari ayo unachowaza ni how you feel juu yake naamini ushapenda

lakini kusema umuache huyo mtu kwa sabbu kuna mtu anaekupenda na wewe umpendi kwa kweli ni kitendawili

ila umetoa sababu nzuri
 
Unajua mauzauza ya mtu unaempenda halafu yeye anatumia nafasi kuwa anakunyanyasa? mbona utabaki kama moja kwa stress
 
Bora anaenipenda asee, huenda nami nkamzoea au akanvutia nami nkavutika kumpenda!
 
bora anaenipenda ukipenda unakua mtumwa bt huyo anaenipenda akidhi terms and condition
 
Back
Top Bottom