Ajiuzulu, wananchi wamemchoka wanamuona kama mtalii tu
Hallo wana JF!! Ningependa kujua mawazo yenu kama great thinkers,Je,ukipata nafasi ya moja kwa moja kuongea na Jakaya Kikwete kuhusu mstakabali wa taifa hili kwasasa na baadae,UNGEMWAMBIA NINI?
Ningemwambia "im proud of my president because he is handsome" so aendelee kufanya make up mixxer Karolite azidi kuwa handsome.Hallo wana JF!! Ningependa kujua mawazo yenu kama great thinkers,Je,ukipata nafasi ya moja kwa moja kuongea na Jakaya Kikwete kuhusu mstakabali wa taifa hili kwasasa na baadae,UNGEMWAMBIA NINI?
Hahaha! Hii kali sana!Ningemwambia "im proud of my president because he is handsome" so aendelee kufanya make up mixxer Karolite azidi kuwa handsome.