Ungepewa masaa 3 ya ziada ktk siku ungeyafanyia nini?

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
Wengi wetu tuna shughuli nyingi za kufanya katika siku na masaa 24 yanaweza yasitoshe kufanya shughuli zetu zote. Je ukapewa masaa 3 ya ziada kwa siku, utayafanyia nini?
 
Usipende kumuongelea mtu ambaye humjui.
Muda mwingine kuwa na heshima, hatulingani hata kidogo sawa,
Jaribu kuheshimu watu na kuwa na busara usiwe roporopo.
Weee mwenyeww umeshindwa kujiheshim unataka uheshimiwe kwa lipi sasa mzinifu mkubwa wewe
 
Wengi wetu tuna shughuli nyingi za kufanya katika siku na masaa 24 yanaweza yasitoshe kufanya shughuli zetu zote. Je ukapewa masaa 3 ya ziada kwa siku, utayafanyia nini?
Ningeongeza muda wa kulala nifikie muda unaotakiwa kiafya.
 
Hayo masaa matatu ningeyatumia kupanga mikakati ya kuiondoa ccm madarakani....
 
  • Thanks
Reactions: 911
Back
Top Bottom