Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

[MENTION]lemonade[/MENTION] kipimo cha akili ni kumjua Mungu na hivyo kujua upo hapa duniani kumfurahisha mwanadamu au kumfurahisha aliyekuazima roho yake ujidai nayo kwa siku kadha wa kadha hapa ugenini

kwa lugha nyingine akili lazima ziwe ni busara na busara ni kuwa karibu na Muumba tu hakuna namna nyingine utaipata.....................

Got it! Ku indulge sana na mambo ya dunia mara nyingi kunatupozea sana, utaona eti wengine wanaita akili za kimaisha mfano jamaa amejenga na ana miradi kadhaa iko pia wengi ukichukulia ni kipimo huku wakisahau that important part you mentioned Rutashubanyuma
 
Last edited by a moderator:
Ooh yeah....
:focus::focus:

Ningeongelea from a bilogical point of view siye kama wanyama wengine definately kina dada would go for a strong man in all aspects of life ambayo ni dalili pia ya kuwa na a strong generation ahead na uhakika wa survival, wale ambao ni weak watapata matatizo kumpata wa kumate naye.

[MENTION]Kaiser[/MENTION] hiyo umenisaidia ndiyo nadharia yangu kuu....kuwa pamoja na wengi kujihami hakuna formula lakini ukweli formula zipo.....n aunaweza ukiwasoma wawili wawili unaowafahamu utajua kuwa kuna sababu kwanini wako wote au la..........................it all boils down to the survival of the species............looks have a place because we tend to favour them and life is a bit easier to them too............so their survival rate is higher....................good health counts to who will wnat to stick for life with someone who is mortally ill?........nyinginezo zitakuja baadaye kidogo.........................lol needs some place to put my.........seeds...........
 
lemonade usififilishe mawazo yangu ya kuwa hata na wewe your avatar can be deceiving...lol

ninatamani kurudi kwenye uzi lakini kaizer kanitoa kwenye somo la leo........labda niende fb kidogo nikajitulize mawazo khalafu nitarudi tena........I used to be strong but age has also taken its toll on my .........actually nina mengi ya kuchangia kwenye hii mada lakini naona kama nimepoteza focus................sana tu

Pole sana twende tukakusanye nguvu tutarudi baadae ruta
 
Last edited by a moderator:
Got it! Ku indulge sana na mambo ya dunia mara nyingi kunatupozea sana, utaona eti wengine wanaita akili za kimaisha mfano jamaa amejenga na ana miradi kadhaa iko pia wengi ukichukulia ni kipimo huku wakisahau that important part you mentioned Rutashubanyuma

very true [MENTION]lemonade[/MENTION] wengi wanaohangaika na huu mkate na vijisenti kwa nguvu zao zote huishia kufanikiwa lakini huwa hawapati kila kitu........most of them are unhappy because they are enlsaved by the irony success............hata leo kuna jamaa yangu kanipigia simu asema jana kashinda porini kwenye shamba lake akililinda asije kuibiwa sasa haya maisha gani.................mie nikuuchapa usingizi kwa sababu hata niwe na mali nyingi kiasi gani mahitaji yangu halisi ni kidogo sana......then why should I accumulate too much and besides I came with nothing and will depart here with nothing..........wazo la kusema utamwachia mtoto halina mantiki na yeye atanufaika kama atahangaika kivyake tu
 
aa wapi wale wana castle hii ni ya mjeremani lol

[MENTION]kaiser[/MENTION] tatizo sinywi pombe......................ninaamini zinadumaza mbegu na hivyo kufanya survival of the fittest battle niwe nimetolewa knockout...............
 
Kaiser hiyo umenisaidia ndiyo nadharia yangu kuu....kuwa pamoja na wengi kujihami hakuna formula lakini ukweli formula zipo.....n aunaweza ukiwasoma wawili wawili unaowafahamu utajua kuwa kuna sababu kwanini wako wote au la..........................it all boils down to the survival of the species............looks have a place because we tend to favour them and life is a bit easier to them too............so their survival rate is higher....................good health counts to who will wnat to stick for life with someone who is mortally ill?........nyinginezo zitakuja baadaye kidogo.........................lol needs some place to put my.........seeds...........

ahahahah rutashubanyumna si unapajua....changamka sasa usife na tai shingoni..kikubwa uwe na qualities tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom