Ungependa Serikali ya TZ iweje 2015

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
My wishes
1. President - Sitta
2. Prime Minister - Slaa/Magufuli
3. Speaker - Mwakyembe
4
5
6
7
8
9
10
 
Rais: Dr.W.P.Slaa
W/Mkuu: S.Sitta
mambo ya ndani: Magufuli (ili awanyooshe mapolisi)
Spika: Job Ndugai
Afya: Mwakyembe
Sheria na katiba: Tundu Lisu
Kilimo na umwagiliaji: Mark Mwandosya
 
watanzania tunadharauliwa sana kwa ujinga wetu, tunapenda sana kuongea na siyo matokeo!

ukimtaja sitta, mwakyembe, hawana chembe ya ubora wowote ule, wanapenda publicity, wanafiki, na ninashangaa sana ukiwataja wana CCM hawa! kwa maana nyingine kuna watu wanaamini CCM bado ina kitu kizuri,

For serious and commited leaders, mwakyembe na sitta wangekuwa wameishajiuzulu au kujitoa zamani sana ndani ya CCM!


wanachofanya ni KUKIJENGA CHAMA cha CCM!!!!!!-ujinga wa kutojua hili unaligharimu taifa... mpaka hili somo liwaingie mnataqualify kuwa great thinkers!! MANENO MENGI NDIO TUNACHOKITAKA WATANZANIA, NA WAJANJA WAMELIJUA HILO NA WANALITUMIA KWELI, wako wapi akina Kilango na uongeaji wao, wako wapi akina Mzindakaya.

Katiba mpya, then tuwaze haoviongozi

utakuta JF mzima na kende mbili anasema anataka kusikia statement ya Kikwete!!! then akisema ndio mnaridhika! JK anaweza akapinga mauaji ya Arsuha, anaweza akapinga mauji ya Mbararali, Membe amepinga mauaji ya Arusha, then what happened?? uchaguzi hauridiwi wenyewe wanasema hivi hapa, na hivi pale!!! wanaangalia upepo wametusoma na kutumeza they know, this made JK kusema asilimia 70 ywa waTZ ni wafuata upepo

mtu akisema Sitta na Mwakyembe naona yuko ndani ya wale 70!!! waondoke CCM, waseme wametoka kwa sababu ya nini! ndio watakuwa mashujaa kukaa kwenye dampo na kufukuza inzi hakusaidii kitu, inzi wapo tu!!!
 
Tuwe na Katiba Mpya. Kwa hiyo: 1. Tuwe na Muungano ila Serikali Tatu. Serikali ya Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Tuwe na Utawala wa Majimbo. Wabunge wawe watawala wa Majimbo kwa kusidiana na DEDs watakotawala Districts, municipals etc

1. President - Dr Slaa
2. Premier - Magufuli
3. Speaker - Mabere Marando
4. Sheria na Katiba - Tundu Lissu
5. Elimu - Zitto
6. Afya - Mdee
7. Fedha - Mbowe
8.
9.

Endelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom