Ungependa raisi ajae aweje?

Baba Hellen

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
763
91
Raisi ajae 2015 awe naupande gani kati ya hizi zifuatazo upande a

1 safari za mamtoni kila siku
2ajaze maswahiba na wakwe na mashemeji serikalini
3avunje baraza la mawaziri kwa kuwalinda mafisadi
4asijue chanzo cha umasikini wa raia zake
5atoe maeneo nyeti ya taifa kwa wazungu
6aunde vimikoa na viwilaya ili maswahiba wapate ajira
7 dhaifu
8uzalendo kando

upande b
1mchapa kazi
2uswahiba kando
3apinge kwa vitendo rushwa
4ajira kutokana na uwezo wa muhusika
5mabwe pande pawe kituo cha haki za binadamu
6waizi wa kuku wa chapwe viboko mafisadi ndio wa eende keko
toa maoni yako huku ukizingatia kwamba tanzania ya leo na kesho ipo mikononi mwako
 
hujajiweka sawa kimawazo...title na hyo red ni mkianganyiko. Did you intend to get answers from an open ended question or your intention was answers through a reading question?
 
Mkuu acha wehu tanzania itasimamaje bila wa tanzania ila ningependa uchangie uwe na walau 1 batchelor from any faculty ilikuepusha questions
 
Mkuu acha wehu tanzania itasimamaje bila wa tanzania ila ningependa uchangie uwe na walau 1 batchelor from any faculty ilikuepusha questions

Kwa hiyo sisi tusiyo na hiyo (batch lor) hahahahah, tusichangie siyo?
Kweli we ndiyo kilaza namba 1.
 
Awe kijana mwenye upeo.Asiye kibabu chakutufia madarakani nakutusababishia uchaguzi mwingine
 
Back
Top Bottom