Elections 2010 Ungependa rais afanye nini kipindi kijacho

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Wakubwa,
Mimi ni mtanzania ninayependa maendeleo ya nchi yangu na mtazamo chanya wa mambo. Naomba nitumie post hii kutoa wito kwenu mtakaobahatika kusoma post hii kushauri ni nini hasa uongozi mpya ufanye kwenye kipindi cha miaka mitano ijayo. Yawezekana tunalaumiana kwa sababu hatupeani ushauri mzuri pia.
asante.
 
Back
Top Bottom