Ungependa kwenda labour/theatre na mkeo/mmeo?

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
522
331
Kwa nchi kama Canada, US, UK, Australia, Argentine wana sheria zinazoruhusu mwanaume kuwepo mkewe anapojifungua mtoto. Hii husaidia katika kufarijiana na kusaidiana kuabsorb the pain of delivery.

Hata wakati wa operation husaidia mwanamke asiwe na hofu sana kwani not all people around are strangers. (hapa ndo wagonjwa wengi pressure zinawapandaga wakikutana na watu wapya walio kama maninja wakiambizana, wapi kisu? Loh!-) Yawezekana pia inasaidia kuwaweka wanafamilia makini kutotiana mimba za faster faster.

Ndugu wana MMU wewe binafsi ungependa kushiriki katika zoezi hilo? Kwa nini? Na doctors utajisikiaje ukiwa unafanya operation(c-section) na mume yupo anakuangalia ukiongeza na emotion zingine alizo nazo? Najua mazingira yetu ni magumu lakini environmental change inategemea na demand. Siku wanaume wakiinuka na kusema tunataka kuwepo wakati wa labour basi labour zilizo kama bweni la sekondari zitabadilishwa.

Karibuni!
 
ah wee niende kuona jinsi bicha la mtoto linavyo sasambua K ya mke wangu
 
ndio,awepo aone shughuli yake!labda itasaidia kuheshimu ndoa!ila deko zake balaa
 
Marie Stopes Mwenge walikataa nisiingie, nikasimama mlangoni nikasikilizia tu kwa nje, hadi saa kumi na mbili kamili hivi asubuhi ndio mgeni aliwasili
 
Marie Stopes Mwenge walikataa nisiingie, nikasimama mlangoni nikasikilizia tu kwa nje, hadi saa kumi na mbili kamili hivi asubuhi ndio mgeni aliwasili

tatizo hatuna sheria zinazoruhusu hilo hivyo walikuwa sahihi kukukatalia. Ila miundombinu ikikubaliwa utaweza kuvumilia mkeo akilia kilio kisicho na machozi? Hili litawezekana kama kila labour ikiwa na kachemba kake ili usichungulie wake wa wenzio. Pia utavumilia mkeo akifokewa mbele yako? Maana ile kazi ukibembeleza mtu anabana miguu mtoto kwishney! Loh!
 
Tena hakuna kitu nnachopenda kama Mumewangu akiwepo niki jifungua....anapata kujua vp unatabika na mapenzi pia huongezeka...
 
husband anaweza kusababisha madaktari wasifanye kazi zao ipasavyo maana ukiwa mvivu unakalipiwa na nesi jamaa anaweza kuingilia!bora tusiwepo!!!

mnaweza kupiga ngumi watu eenh? Makaripio si yatapungua lakini.
 
Hatuna utamaduni wa kwenda kuwaona wake zetu wakijifungua na mambo haya tunaiga toka kwa wenzetu wazungu,kwa ninavyosikia kuzaa si lelemama ni kazi kubwa ambayo haitakiwi kufanyiwa mzaha wa mapenzi kwani unaweza jikuta unapoteza kiumbe kilichopo tumboni,wenzetu kabla ya kuamua kufanya mambo haya huwekwa vizuri kisaikolojia na hufanyiwa hata majaribio.
Nitafanya jambo hilo tu kama kuna tatizo kama vile kukosekana kwa mtu wa kumpa msaada wakati wa kujifungua lakini si vinginevyo.
 
mnaweza kupiga ngumi watu eenh? Makaripio si yatapungua lakini.
mkuu nasikia wale manesi kule ndani wana lugha za kejeli sana mara utasikia sukuma huko wakati unapanua miguu hukulijua hili,mara oooh unakun.y.a badala ya kuzaaa!!sasa nikiwepo hapo si nitaua mtu!bora nisiwepo tu!!
 
Kwa maoni yangu, si vizuri wanaume kuwepo wakati wake zao wakijifungua hasahapa Tz. Sababu hizi hapa:
1. Miundombinu hairuhusu waume kuwepo labour ward (hakuna privacy)
2. Utamaduni wa kitanzania ni kwamba shangazi au mama amsaidie mke wako kujifungua, sasa itakuwaje hapo mume namama nashangazi wote mnaona K ya mkeokwa shughuli
3. Baadhi ya wanawake wanadeka sana kwa hiyo watashindwa kusukuma na kuua mtoto
4. Baadhi ya wanaume wana hasira sana(mfano wakurya) kwa hiyo watawaterrorize nurses wakashindwa kufanya kazi zao ipasavyo
5. Wanaume wakiwaona wake zao na K zinavyobadilika sababu ya shughuli ile pevu wanaweza kutopenda tena kufanya nao mapenzi
 
Ijapokuwa nilikuwa labor ward ya peke yangu na despite kumpenda sana mume wangu kipindi chote cha uja uzito siku ya siku nilimwambia hubby go to hell na sitaki unisogelee. Poor man alikuwa ananipa uoga.
 
Back
Top Bottom