Kwa nchi kama Canada, US, UK, Australia, Argentine wana sheria zinazoruhusu mwanaume kuwepo mkewe anapojifungua mtoto. Hii husaidia katika kufarijiana na kusaidiana kuabsorb the pain of delivery.
Hata wakati wa operation husaidia mwanamke asiwe na hofu sana kwani not all people around are strangers. (hapa ndo wagonjwa wengi pressure zinawapandaga wakikutana na watu wapya walio kama maninja wakiambizana, wapi kisu? Loh!-) Yawezekana pia inasaidia kuwaweka wanafamilia makini kutotiana mimba za faster faster.
Ndugu wana MMU wewe binafsi ungependa kushiriki katika zoezi hilo? Kwa nini? Na doctors utajisikiaje ukiwa unafanya operation(c-section) na mume yupo anakuangalia ukiongeza na emotion zingine alizo nazo? Najua mazingira yetu ni magumu lakini environmental change inategemea na demand. Siku wanaume wakiinuka na kusema tunataka kuwepo wakati wa labour basi labour zilizo kama bweni la sekondari zitabadilishwa.
Karibuni!