Wala sina yeyote yule.
We unao wangapi ili nijue jinsi gani ya kujihami maana tindikali nje nje sku hizi
nitaaminije yakhe
Mie ningetoka na miss chagga
Usipotajwa ni heri pia kwakoMasikini!! Hata mmoja hajanitaja...
Kama Gender Sensitive ni mwanamke, kwa kweli ningependa sana kutoka naye.:hug::hug::hug:
Kwa nini?
Nawapenda sana wachagga na shape zao kama wahindi vile
No you my no1 then"()so there is no. 2,3,4 and so on?
Amini tuu bana kwani salamu si ndio mwanzo wa kujuana!!!! habari yako bana...
tatizo jina unalotumia hapo juu ndo mana wanaogopa.Usipotajwa ni heri pia kwako
Ningependa nitoke na wana jf wote waliopo dar