Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Kwanza ningeanza kwa kumlaumu ni kwanini aliona agombee tena wakati uwezo wake umejiddhihirisha wazi jinsi alivyoshindwa kutekeleza hata robo ya ahadi zake. Pili ningeendelea kumuuliza baadhi ya vigezo anavyotumia kuteua Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi, na Mawaziri kama Hawa Ghasia etcWanajamii forum wenzangu,najua kila mmoja wetu ana mtazamo wake.Tuweke itikadai zote pembeni,bado utabaki MTZ na mzalendo.Sasa,imetokea kama bahati Uso kwa Uso na Rais.Labda tu amekuita au amekuchukua njiani baada ya kuona unanyeshewa mvua,ndio mmekaa pale White house mnapata kahawa ya Maziwa ktk kuondoa baridi.Pengine yakaja maswali kwako,mf.Watu wanauzungumziaje uongozi wangu? Au,Una ushauri/maoni gani kuhusu Uongozi wangu?.Na mengine ambayo Mkuu huyo angeona yanafaa.JE WEWE UNGEMSAIDIAJE KIONGOZI WAKO HUYU KWA NIA NJEMA KABISA?Naomba kuwasilisha WanaJF