Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,318 33,125 Sep 12, 2016 #1 Wivu kitu hatari jamani mume wa Mtu ni Sumu .....Sijui kiliendelea nini afterwards!!!
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,554 9,531 Oct 4, 2016 #4 Usaliti unaweza kufa huku unaona
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,272 Oct 4, 2016 #6 Vitu hatari vina ladha adimu mkuu.
Ja60 JF-Expert Member Aug 5, 2012 276 177 Oct 4, 2016 #7 Usikute hapo jamaa kamwambia bado yupo ofisini
Mlaleo JF-Expert Member Oct 11, 2011 13,387 9,755 Oct 4, 2016 #8 Mzungu kavaa Ndala na vumbi bwena? au ndio wale wa Latino Huko Brazil, Venezuela,Colombia, visiwa visiwa huko?
Mzungu kavaa Ndala na vumbi bwena? au ndio wale wa Latino Huko Brazil, Venezuela,Colombia, visiwa visiwa huko?
radika JF-Expert Member Jul 15, 2014 20,427 32,196 Oct 4, 2016 #10 nipiwaona demu aliyeshika mawe aliishia kulia tu jamaa likambembeleza demu akamsamehe wakafukuza mchepuko
nipiwaona demu aliyeshika mawe aliishia kulia tu jamaa likambembeleza demu akamsamehe wakafukuza mchepuko