Ungekuwa wewe yamekutokea haya ungefanyaje? (ni story ya kweli)

yan hapa ndo ham ya kuoa inapoishia!!
haya mambo yapo kabisaaa!sema ukisikia kw mtu inakuqatu ka ahadith ya kutungwa.
cjui, ila kila kitu kina mwisho wake. hata hekima na busara hufikia mwisho, uvumilivu pia, na
hii hutokea baada ya kupima chanya na hasi zinazotokana na tukio.hapo mtu atakula divorce.
potelea mbali, ninauhakika naweza kua bonge la mlezi wa watoto wangu hata bila mwenzangu kama
akileta upuuzi!

GOD FORBID.
 
Back
Top Bottom