Ungekuwa wewe ungemfanya nini huyu mke?

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake , lakini kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi mwenyewe. Kafika home kavua nguo kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe aliyekuwa usingizini;
Jamaa: Yaani hali ya hewa huko nje mbaya sana
Mke: Si ndio nimemshangaa huyu mpumbavu eti kaenda kazini.........
:nerd:
 
nigeendelea na masuala ya udadisi ili nipate data zaid
-nikimaliza nabonyeza button !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom