Ungekuwa wewe ungefanyeje -kwa wanandoa

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Habari wote,


>>>Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe,
>>>akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama
>>>kitandani.
>>>
>>>"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
>>>"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"
>>>"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
>>>"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe
>>>kama mbwa au kuku"
>>>
>>>Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama
kuku"
>>>
>>>Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka
>>>moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.
>>>
>>>"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
>>>"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
>>>"Sijawahi"
>>>"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."
>>>
>>>Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo!
>>>Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.
>>>
>>>"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"









 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom