Ungekuwa wewe ungefanyaje?

kamati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
240
109
Ndugu zangu nimejitokeza kwenu kuomba msaada.Mimi ninaishi na kaka yangu ila kaka yangu ana mke na kaka yangu mda mwing hayupo huwa anasafiri kikazi na huwa anakaa miezi mitatu anapokuwa kazini na akirud anakaa rikizo kwa mda wa siku 28 sasa kwa mda ambao kaka anakuwa hayupo mambo anayofanya shemeji yanakera unakuta shemej yangu anarud mpaka saa nane uciku amelewa mpaka anajikojolea mimi binafsi inaniuma saana kuona anavyomfanyia kaka na yangu ananipenda saana ananihudumia kila kitu ila nashindwa kumwambia kaka kwa huhofia kuvunja ndoa imefikia hatua shemeje ameanza mpaka kuja na wanaume wanamleta home kwa gari night na mimi namfungulia get kiukweli inaniuma jaman mimi binafsi nimeamua nihame nyumbani nikapange tu kwa sababu ya haya maudhi jaman naombeni msaada wa mawazo nikimwambia je shem atanielewaje endapo wacipoachana na je nikikaa kimya kaka atanielewaje ciku akijua? Na nina uhakika atajua kwani mungu hafich mnafiki nisaidien mawazo mdogo wenu
 
Hayakuhusu ni hakika huyo kaka ysko alimwokota kwenye uchangu hivyo anajua tabia yake ingawa atamuua kwa mahonjwa mwanamke galasa huyo.
 
Umefanya busara kuhama kwa kakako. Ukimsemea shemejio atamuambia mumewe ulimtaka na undugu utaisha. Hayakuhusu. Unayajua afanyayo kakako huko anakoishi? Unayajua anayofanya gf wako akiwa mbali nawe? Endelea na maisha yako.
 
mwambie kaka yako siku moja aje bila taarifa halafu afanye surprise ili ajionee mwenyewe! maana bila hivyo kibao kitageuzwa kwako eti wewe unamtaka kimapenzi shemeji yako! mwisho wa siku kaka yako atakuja kujua ukweli huku tayari alishaumizwa na 'miwaya'!
 
Utajisikiaje bro wko akipata maradh y ngono nawe dalili unaziona? Ur killing ur own bro. Tell him z truth. Yy n mwanaume hawez kukurupuka atarisech na atajionea. Mwonee huruma kakako km kwel unampenda. Kumbuka unaweza pata shem mwngne lakn co kaka mwngne.
 
they say it is loneliness that makes booze nd infidelity all the more appealling....n.sasa huyo shemeji yako ana kila haki ya kuyafanya hayo maana ndoa dhumuni ni kuishi pamoja. mnapo ishi mbali mbali mnawekana majaribuni tuu.
 
mwambie kaka yako siku moja aje bila taarifa halafu afanye surprise ili ajionee mwenyewe! maana bila hivyo kibao kitageuzwa kwako eti wewe unamtaka kimapenzi shemeji yako! mwisho wa siku kaka yako atakuja kujua ukweli huku tayari alishaumizwa na 'miwaya'!

Huu ushauri mzuri,amweleze halafu waweke mtego.
 
Daah ndugu yangu huna tofauti yoyote na kilaza square! Hasa kuamua kuishi mbali na shemeji yako ndio suluhisho au unajishau tu? Usiwe mjinga wewe, funguka kabla Kaka yako hajagundua, akigundua kabla ujamwambia ukweli atakuona mbaya wake!
 
mwambie kaka yako siku moja aje bila taarifa halafu afanye surprise ili ajionee mwenyewe! maana bila hivyo kibao kitageuzwa kwako eti wewe unamtaka kimapenzi shemeji yako! mwisho wa siku kaka yako atakuja kujua ukweli huku tayari alishaumizwa na 'miwaya'!

Nakubaliana na mawazo yako!
 
Mwambie ukweli afanye uchunguzi ajue. Hapo naona huyo Shemeji yako amewadharau wewe na kaka yako pia ndio maana anfanya hayo
 
Ndugu zangu nimejitokeza kwenu kuomba msaada.Mimi ninaishi na kaka yangu ila kaka yangu ana mke na kaka yangu mda mwing hayupo huwa anasafiri kikazi na huwa anakaa miezi mitatu anapokuwa kazini na akirud anakaa rikizo kwa mda wa siku 28 sasa kwa mda ambao kaka anakuwa hayupo mambo anayofanya shemeji yanakera unakuta shemej yangu anarud mpaka saa nane uciku amelewa mpaka anajikojolea mimi binafsi inaniuma saana kuona anavyomfanyia kaka na yangu ananipenda saana ananihudumia kila kitu ila nashindwa kumwambia kaka kwa huhofia kuvunja ndoa imefikia hatua shemeje ameanza mpaka kuja na wanaume wanamleta home kwa gari night na mimi namfungulia get kiukweli inaniuma jaman mimi binafsi nimeamua nihame nyumbani nikapange tu kwa sababu ya haya maudhi jaman naombeni msaada wa mawazo nikimwambia je shem atanielewaje endapo wacipoachana na je nikikaa kimya kaka atanielewaje ciku akijua? Na nina uhakika atajua kwani mungu hafich mnafiki nisaidien mawazo mdogo wenu

ni rahisi sana si hutaki unafiki siku akiwepo kakaako nenda kwake na mwambie yote mbele ya mke wake ili aamue mwenyewe sawa mkuu kuliko kukaa na kijiba cha roho..
 
Umefanya busara kuhama kwa kakako. Ukimsemea shemejio atamuambia mumewe ulimtaka na undugu utaisha. Hayakuhusu. Unayajua afanyayo kakako huko anakoishi? Unayajua anayofanya gf wako akiwa mbali nawe? Endelea na maisha yako.[/QUOT

ushauri wako uko kimalaya zaidi! kwani kama hujui ayafanyao kaka yako ndo tiketi ya kuruhusu ujinga kama huo kwa ndugu yako wa damu? nakushauri mtoa maada hili halivumiliki chamuhimu we tafuta jinsi ya kumfikishia ujumbe kaka yako bila kuadhiri uhusiano wako na shemeji yako ili ikibidi kaka yako aweze kufanya uamuzi wa kusuka au kunyoa!

ushaurimzuri kwa m2 mmoja hapo juu kua we mwambie kaka yako afanye kuja bila taarifa alafu akae sehemu nyingine ili amuone anakoelekea amfuatilie kisha ajitokeze akiwa na talaka yake mkononi!
ndoa kama hizi hata ukizivunja kama kaka wa mwanandoa hakuna dhambi kwa mungu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom