Ungekuwa wewe ungefanyaje? Dawa za mgeuza mwanaume kuwa mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungekuwa wewe ungefanyaje? Dawa za mgeuza mwanaume kuwa mwanamke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Jul 28, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  William McKee (38) alijikuta kwenye wakati mgumu kutokana na uamuzi wake wa kutumia dawa ya kupambana na upara. Dawa hiyo aina ya Propecia imemgeuza McKee kuwa mwanamke jambo ambalo limemfanya aachane na mkewe waliyeishi kwa miaka 10. Ghafla alijistukia akiota matiti huku mapaja yake yakitanuka na kuwa na alama zote za mwanamke. Kwa sasa McKee amefadhaika na maisha yake yameanza kupoteza maana. Kwa habari zaidiBONYEZA hapa.
   
 2. Okhondima

  Okhondima JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2013
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 1,061
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kaolewa??
  "Nlikuwepo":bolt:
   
 3. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2013
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,269
  Likes Received: 4,268
  Trophy Points: 280
  ngoja kwanza twende taratibu zakhari yake bado inafanya kazi au nayo imebadilika?
   
Loading...