Ungekuwa wewe ungefanya nini?

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Ungekuwa wewe ndio upo ndani ya hili gari ungefanya nini? Na unahisi watu waliokuwepo kwenye gari hili wapo kwenye hali gani?
38232_127699500605958_100000977272163_146881_441442_n.jpg
 
Mlifanya nini?
Wana JF tuliendaga Tarangile,sasa wakati tupo mbugani tulikutana na kundi la tembo tukiwa ndani ya kiasi,ilibidi tuzime gari mpaka wapite.tulisimama kwa muda,na watu waliingia uoga wakawa kimya
Usiombee ukukute wewe ona tu kwenye picha
 
Back
Top Bottom