Ungekuwa wewe ungefanya maamuzi gani?

Maisha bwana wakati mwingine nikama kubeti niwazi ushauri waliotoa wengi nisahihi japo hilo swala lamtaji sijui linawezekana au la navip huyo mwanamke umewahi kuishi nae ? Ili pengine ukawaunamuelewa kwenye matumizi yake maana kusemakweli maisha sio powa
 
Mchukue mkeo muishi pamoja. na usijaribu kuacha kazi..kama itapendeza mfungulie kibiashara mkeo..msongeshe life.

Kila la kheri
 
Mke ndo akufate we unamfata ukawe houseboy?


Huwezi



Aply job maeneo anayoishi mkeo ukiitwa kazini ndio uache Kazi hapo ulipo
 
Back
Top Bottom