Ungekuwa wewe ungeenda au?

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,732
Jamani nikiwa oficini leo nilipigiwa cm na bosi wa kitengo kingine akinijulisha kuwa kesho ntakuwa na massage ya dakika 90 yani lisaa limoja na nusu. Aliendelea kunitaka ni confirm kuwa nitaenda, nikasema ndio. baadae akaniambia utakuwa chumba kimoja na mtu fluani, yaani bosi wa kitengo kingine, akuuliza tena "will it be okey with you?" nikajibu no problem.

Sasa mtihani unakuja kuwa Mimi nina zaidi ya miezi 3 sasa sijala /onja tamu (k) hivyo nahisi ntakapoguswa tu, protini zitamwagika within a short time.

Hivi won't i be ashamed ukizingatia mtu aneenda kunifanyia hiyo mambo ya massage ni mtu tunaeonana nae daily.

Ungekuwa wewe ungefanya je?
 
Massage mbona haigusi hayo maeneo ya ikulu... Sasa tatizo liko wapi? Au ndo unaguswa unyayo tu wazungu haoo?
We nenda tu...
 
Massage mbona haigusi hayo maeneo ya ikulu... Sasa tatizo liko wapi? Au ndo unaguswa unyayo tu wazungu haoo?
We nenda tu...

We 90 minutes si mchezo, hebu fikiria mdada anakukandakanda lisaa lizima na nusu huku una miezi zaidi ya tatu hujui K inafananaje zitaisha hata dakiza 20 kabla wazungu hawajatokea kweli?
 
acha utoto bwana.. nenda aisee... Ni nzuri sana kiafya! Ukizidiwa wakati anakupapasa we, muambie umezidiwa atakupa tu nawe ujiponee akikataa muambie nimekutuma

Sasa hii won't work kwani tumewekwa 2 men chumba moya bana!!!!!!!!
 
Piga puli kabisa saa hizi kabla hujalala.

Samahani lakini, kwani mnafanya kazi saluni? Mbona kumasajiana?
 
Piga puli kabisa saa hizi kabla hujalala.

Samahani lakini, kwani mnafanya kazi saluni? Mbona kumasajiana?

Si unajua kampuni zingine zinajali wafanyakazi wao. kwetu hapa wanasema eti sisi wafanya kazi tunathaminiwa kuliko wateja.
 
Hiyo ni golden chance!Haiwezekani kuteua mtu mwingine aende kwa niaba yako?If Yes,Give me that chance!!!!
 
We 90 minutes si mchezo, hebu fikiria mdada anakukandakanda lisaa lizima na nusu huku una miezi zaidi ya tatu hujui K inafananaje zitaisha hata dakiza 20 kabla wazungu hawajatokea kweli?

We nenda tu ukafanyiwe massage,watu tupo hapa tuna miaka 12 K katujaiona na tunafanyiwa massage kila weekend hakuna cha wazungu wala wahindi wanaokuja,usijiendekeze3..
 
Ghairi kwenda massage kama unaona umekaa na ukame sana. Nway it all depends on you, no matter what.
 
Umesema anaeenda kukufanyia massage ni mtu mnaeonana daily (tena mwanamke?).
Ofisi kuwapa spa treatment wafanyakazi sio tatizo, tatizo langu ni kuambiwa nimfanyie massage office mate wangu. I reserve that for my one and only man! Ndo maana nikadhani unafanya kazi spa atii.
Si unajua kampuni zingine zinajali wafanyakazi wao. kwetu hapa wanasema eti sisi wafanya kazi tunathaminiwa kuliko wateja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom