chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,734
Jamani nikiwa oficini leo nilipigiwa cm na bosi wa kitengo kingine akinijulisha kuwa kesho ntakuwa na massage ya dakika 90 yani lisaa limoja na nusu. Aliendelea kunitaka ni confirm kuwa nitaenda, nikasema ndio. baadae akaniambia utakuwa chumba kimoja na mtu fluani, yaani bosi wa kitengo kingine, akuuliza tena "will it be okey with you?" nikajibu no problem.
Sasa mtihani unakuja kuwa Mimi nina zaidi ya miezi 3 sasa sijala /onja tamu (k) hivyo nahisi ntakapoguswa tu, protini zitamwagika within a short time.
Hivi won't i be ashamed ukizingatia mtu aneenda kunifanyia hiyo mambo ya massage ni mtu tunaeonana nae daily.
Ungekuwa wewe ungefanya je?