Ungekuwa wewe ni jambazi ungefanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungekuwa wewe ni jambazi ungefanya nini?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by sirgeorge, Feb 13, 2011.

 1. s

  sirgeorge Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jambazi limevamia nyumba usiku. Kamkuta mtu na mkewe kitandani na hawana silaha yoyote ile karibu yao kwa ajili ya kujihami. Akamwekea mke kisu shingoni na kusema "NI KAWAIDA YANGU KABLA YA KUMCHINJA MTU HUWA NAPENDA KUFAHAMU JINA LAKE". Huku akitetemeka mwanamke akajibu naitwa Elizabeth. Jambazi likasema bahati yako nimekusamehe naona huruma hilo ni jina la mama yangu. Kisha akamgeukia mwanaume naitwa William. ILA KAZINI, NYUMBANI NA MTAANI wote wananifahamu kwa jina la Elizabeth. Kama ungekuwa wewe ni jambazi ungemfanya nini huyo jamaa?
   
 2. BENZEMA

  BENZEMA New Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  HAPO MI NINGEMPAMPASA CHINI YA KITOVU KAMA KWELI NI ELIZABETH WA UKWELI.:msela:
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Siku hiyo sio huyo jamaa pekee bali nyumba yote itabidi waitwe Eliza kuokoa maisha yao hahaha!
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah, ni kumuacha tu!
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  Du ningewaambia wapige magoti mm si jambazi, ila nimewaletea Nuru na ningewachia huru kwani William na Elizabeth ni lazima walisali kabla hawajalala
   
 6. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ningeondoka nirudi kesho yake!
   
Loading...