Ungekuwa wewe katika hii ungefanaje?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa tatu. Kwa mastaajabu makubwa alimpongeza mke wake kwa kuonyesha kuwa anajali na akaahidi kumtoa outing mwishoni wa wiki. Je ungelikuwa wewe ungechukua hatua gani?.
 
kukaa na condom kwenye pochi si kigezo cha kujikinga yawezekana ilitumika moja then kilichoendelea ilikuwa kavu .. cha msingi utakuwa umeelewa kwamba unasaidiwa na wanaume wenzako
 
kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa tatu. Kwa mastaajabu makubwa alimpongeza mke wake kwa kuonyesha kuwa anajali na akaahidi kumtoa outing mwishoni wa wiki. Je ungelikuwa wewe ungechukua hatua gani?.
<br />

Paukwaaaaa........... Pakawa........
Katokea chenjegawa kajenga nyumba kakaa.........
Hadithi hadithi
 
Je kama mke wake anafanya family planning?Tunataka tujue mke wa jaamaa nafanya kazi wapi.Yawezekana alikuwa anazitumia kufundishia n.k
 
Paukwaaaaa........... Pakawa........
Katokea chenjegawa kajenga nyumba kakaa.........
Hadithi hadithi

Umeona eeeeee!..jamaa kaleta hadithi za kumbi na kumbinga hizi,yaan,...hakuna kichwa wala kiwili wili,....puuuuuuuuuuuuf
 
ukiwa unatunga siku nyingine ipe nyama na vikolombwezo vingi ionekane ya ukweli kidogo, aaagh, umenkata hata stimu ya kukujibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom