ungekuwa hakimu ungeamuaje hii kesi?

Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,838
1,267
Kipofu alimpiga mtu hadi akamuua,
akapelekwa Mahakamani
HAKIMU: kwa nini umefanya ukatili
namna hii?
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu
aliniambia "NIPIGE UONE" kwa vile
nina hamu ya kuona nikampiga kwa
nguvu zangu zote, bahati mbaya
akafariki. Ungekuwa hakimu
ungefanyaje?
 
inakuaje kitu cha mwaka juzi unakileta leo! lete vi2 vipya vipya bwana
:shock::shock:
 
mwaka juzi hakuwepo!

Kwani ilikuwa mwezi gani, maana jamaa kajiunga mwezi wa 8 mwaka juzi.
 
Kipofu alimpiga mtu hadi akamuua,
akapelekwa Mahakamani
HAKIMU: kwa nini umefanya ukatili
namna hii?
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu
aliniambia "NIPIGE UONE" kwa vile
nina hamu ya kuona nikampiga kwa
nguvu zangu zote, bahati mbaya
akafariki. Ungekuwa hakimu
ungefanyaje?

Nakuhumu kifungo cha maisha kwa kuua bila kukusudia chini ya kifungu cha 195 na 198 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16 [Pitio la 2002] ya Sheria za Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania.
 
ningemhukumu marehemu kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kupigwa na mlemavu hadi kufa!!!!
 
Aise mbona hata haichekeshi?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
naahirisha kesi nawauliza viongozi wa CCM wanipe yao ya rohoni maana wao kanyaga tusepe tuu.
 
Kipofu alimpiga mtu hadi akamuua,
akapelekwa Mahakamani
HAKIMU: kwa nini umefanya ukatili
namna hii?
KIPOFU: Mheshimiwa marehemu
aliniambia "NIPIGE UONE" kwa vile
nina hamu ya kuona nikampiga kwa
nguvu zangu zote, bahati mbaya
akafariki. Ungekuwa hakimu
ungefanyaje?

nimwacha kipofu aende zake
 
Back
Top Bottom