Ungekua ndio zito ungefanyaje ktk hili

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kulaumu ni rahisi kuliko kutafuta kujua ukweli wakati mwenyewe una msimamo wako ambao unapingana na baadhi ya mambo ambayo ni kweli au ya uwongo.

Zito si mtu aliye kosea kiasi cha kumwondolea sifa zake zote, kama watanzania bado tunamhitaji japo si rahisi kula kitumbua ambacho tayari kimeingiwa na mchanga.

Lakini tujiulize, ungekua ndio zito, ungechukua hatua gani ?

Just nauliza..
 
ningejiuzuru mwenyewe kutokana na usaliti nilioufanya kwa tamaa ya fedha, lakini ukabuma !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom