Ungekua ndio zito ungefanyaje ktk hili


Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
6,121
Likes
5,137
Points
280
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2010
6,121 5,137 280
Kulaumu ni rahisi kuliko kutafuta kujua ukweli wakati mwenyewe una msimamo wako ambao unapingana na baadhi ya mambo ambayo ni kweli au ya uwongo.

Zito si mtu aliye kosea kiasi cha kumwondolea sifa zake zote, kama watanzania bado tunamhitaji japo si rahisi kula kitumbua ambacho tayari kimeingiwa na mchanga.

Lakini tujiulize, ungekua ndio zito, ungechukua hatua gani ?

Just nauliza..
 
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
2,792
Likes
99
Points
145
C

casampeda

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
2,792 99 145
Ningetoka kwenye chama cha familia.
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Likes
118
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 118 160
Ningeafiki maamuzi ya baraza kuu la chama kuw yalikuwa ya haki kabisa.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,620
Likes
48,485
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,620 48,485 280
ningejiuzuru mwenyewe kutokana na usaliti nilioufanya kwa tamaa ya fedha, lakini ukabuma !
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,620
Likes
48,485
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,620 48,485 280
Ningerudi CCM walionituma kuivuruga CHADEMA baada ya kushtukiwa
kuna watu wameipigania ccm tangu 77 halafu aje mburula mmoja achukue nafasi zao, wee ! Mbona patachimbika !
 

Forum statistics

Threads 1,251,986
Members 481,948
Posts 29,792,311