Ungejua haya..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungejua haya.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JIULIZE KWANZA, Nov 6, 2010.

 1. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. kwanini wakina Makame walikuwa wanakosea na kutojiamini wakati wa kutaja matokeo..?
  2. kwanini M'bunge apate kura mara kumi zaidi ya mgombea wake wa urais.....?
  3. Kwanini Lipumba ametoa baraka zake kwa JK Huku akiwa anatabasamu....?
  4. Kwanini Kikwete hakuwa na furaha kwenye sherehe za Dr.shein...?
  5. Kwanini kikwete kaagiza jeshi kuwa tayari kutoa kibano kwa mtu atakaejidai anajua haki.?
  6. Unajua ccm imenunua kula/kura kwa garama gani bila mafanikio...?
  7. Kwanini Upinzani unachelewa kuleta mapinduzi ya kweli na ya kisiasa na kiuchumi...?
  8. Kwanini Dr. slaa hajapewa nafasi ya kuwatumikia wananchi na baadhi ya vigogo...?
  9.Utakubaliana na fikra zangu kuwa hakuna chama cha kukitoa ccm madarakani..?
  10. Unazijua mbinu ambazo Dr. slaa anaweza kuzitumia kuimaliza ccm 2010...?
  NB: Unajua ccm haina mgombea mwenye sifa na mvuto 2015 kama kama alivokuwa JK 2005.?
  Ungefanyaje kama Ungeajua aliye mmaliza Dr slaa sio wananchi bali ni mafisadi...?
   
Loading...