Ungejisikiaje Makamba Angekuwa Baba Yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungejisikiaje Makamba Angekuwa Baba Yako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Feb 5, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Wadau hivi huyu Mzee Makamba mbona haelekei kama yuko sawa sawa kichwani! Kila mara amekuwa anatoa miropoko 'as if he does not have even a little brain'. Nashangaa wakati Msekwa anaonekana kuwa 'concerned' na mwelekeo wa CCM kwa siku za mbeleni, yeye ndio kwanza anaropoka eti mtu yeyote anaweza kutoka chamani. hivi ni kweli hana hata chambe ya akili kufikiri kwamba uhai wa chama ni watu na hivyo wanahitaji kushawishiwa kuendelea kuwemo ndani ya Chama?

  Wana JF hebu niwaulize, ingekuwa wewe Makamba ndio baba yako, hivi ungejisikiaje?
   
 2. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hivi january anajiskiaje kupewa ubunge wa kitapeli aliopokonywa shelukindo?
   
 3. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndyoko, Mzee Makamba anao watoto, ninaowafahamu mmoja ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri, mwingine alikuwa Hakimu (sidhani kama bado ni hakimu)! Hawa wanamaoni yao kuhusu baba yao. Tusiwakwaze!

  Ingefaa tukajiuliza (kwa wale ambao si CCM) ingekuwaje Makamba angekuwa Katibu Mkuu wa chama chako? Hii ingesaidia kuwa na mjadala endelevu! Ni vizuri tukakumbuka mipaka yetu, uzazi na uzao wa Makamba ni suala binafsi. Kitu ambacho si suala binafsi ni nafasi yake ya uongozi! Inawezekana ni baba mzuri labda kuliko baba zetu wengine!

  Just a thought from me!

  Kuhusu yeye kuwa Katibu Mkuu wa chama changu ningejisikia vibaya sana na ningeunganisha nguvu za vijana wenzangu aondoke!
   
 4. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Ningejisikia vizuri sana maana yeye ni kiongozi mkubwa cha chama , amekuwa mkuu wa mkoa na wakati wote huo alikuwa anapendwa sana- mfano alipotolewa u rc dar watu walilalama kuwa dar sasa kwisheny maana alikuwa anaumudu sana mkoa huo, morogoro wanamkumbuka hadi leo kwa ajili ya upandaji miti pale mjini

  tatizo siku hizi ni mtendaji wa ccm hivyo kama kawaida wapinzani hawawezi kumpenda kama vile malaria sugu asivyompenda slaa. Tofauti yake ni kuwa kunDI lipi lina access na media ipi. Inawezekana slaa pia anachukiwa na wana ccm kwa mwendo huo huo makamba anavyochukiwa hasa na wana cdm. Tatizo hatuna access na jukwaa ambalo ni predominantly ccm au wao hawapendi sana ku express chuki zao

  nadhani nimejibu vema............tuone na wengine watakavyojibu..............................
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Sawa kaka MsandoAlberto lakini usisahau usemi wa busara ya kuwa 'what we do influence our children' lakini vilevile 'genetically' 'half of what make our kids come frome our blood'.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Baba ni baba tu mkuu, hata akiwa Kichaa..,
  Ila angekuwa ni kiongozi au meneja wa biashara zangu nimgemuita ofisini nikampa mafao yake na nikaomba tuagane
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Swali la kijinga!! ebu kawaulize watoto wenzio huko...
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Keshachota za kutosha na mafisadi akina rostamu na lowasa na kikwete wamemhakikishia hadi uzima wa milele.................mi angekuwa baba yangu ningemkana hadharani
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ningeenda mahakamani kula kiapo cha kumkana, full stop.
   
 10. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndyoko, una maanisha yule mwanae ambae alikua Hakimu lakini suala la ulevi wa kupindukia hadi kuachishwa kazi amerithi kutoka kwake? Au hakumpa malezi mazuri?

  Na je yeye kutokuzuia kuachishwa kwake kazi ni kwamba amemchoka au ni uwajibikaji?

  Nataka tuliangalie hili suala kwa mapana ili at some point tuconnect kuwa mzazi wa familia na nafasi yake ya uongozi! Tutafika tu hapo michango inavyozidi kutolewa!
   
 11. 2my

  2my JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo maswala ya kujisikiaje km angekuwa baba yangu co hoja ya msingi.......
   
 12. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Yap, maana mwanae kule Kilimanjaro alikuwa anawahukumu watu akiwa chakariiiiii, kisa eti yeye ni hakimu. nahisi kuna kama katabia ka kuropoka ndani ya damu za hii familia!
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  tatizo toka uzaliwe huwajui wazazi wako
   
 14. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh! Gosbert kweli amekuchosha! Kiapo chako kingekuwa hivi;

  I, Gosbert an adult Moslem, hereby affirm that;

  1. I am the biological son of Yusuph Makamba.

  2. I am expressly and impliedly denouncing and disowning him as my father.

  3. I am waiving all my rights including the right to be called and referred to as the son of Yusuph Makamba.

  4. All the world and human beings and animals should desist and refrain from referring or knowing me to be the son of Yusuph Makamba.

  5. As from this date my name is Gosbert Gosbert and the name Gosbert Yusuph Makamba is not my name.

  6. All my offsprings should not be referred by that name now and always.

  7. This affirmation has been taken willingly without any coercion, force or misrepresentation and that I am not under any influence of alcohol, drugs or any other intoxicating substance.

  Dah!! Hata kama issue ya enforciability ya kiapo hicho itajitokeza lakini watu wataogopa kukuita Gosbert Y. Makamba!!
   
 15. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hili nalikumbuka vizuri. Kulikuwa na malalamiko kwamba lazima wenye kesi wamsubiri afike ili kesi zianze na mara nyingi alikuwa anafika saa saba! Karandinga inabidi lisubiri amalize ndio liwapeleka mahabusu! Bado sijasikia kwamba Mzee Makamba anatabia ya ulevi! Kuropoka nimeshuhudia. Alipoulizwa kwa nini Chenge amechukua form ya uspika alimjibu mwandishi 'ningekuwa na simu ya mkeo ningempigia na yeye achukue'. Hapo nikajua kuna tatizo!
   
 16. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  -Well said broda,

  -Kujibu swali la mdau ni kwamba ningejisikia vibaya sana baba yangu kuchambuliwa kila siku haswa kwenye masuala binafsi.
   
 17. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Excellent! You have been noble Kunta, you have guided and replied! Thank you
   
Loading...